Samatta ampigia kura Van Dijk, Ndayiragije kwa Messi Samatta atakutana na Van Dijk aliyempigia kura ya kuwa mchezaji bora wa dunia pamoja na Mane kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Oktoba 23 ambapo KRC Genk itaanza kwa kuikaribisha Liverpool kabla ya...
De Ligt anakaribia kutua Juventus BEKI, Matthijs de Ligt amedaiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Juventus baada ya kugomea kujiunga na kambi ya mazoezi ya timu ya Ajax.
FIFA yamfungia maisha bosi wa soka Ghana Shirikisho la soka la kimataifa (Fifa), limemfungia maisha kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na soka Rais wa zamani wa Chama cha Soka nchini Ghana (GFA), Kwesi Nyantakyi.
FIFA yamtega Cristiano Ronaldo akikwepa kifungo Cristiano Ronaldo ataruhusiwa kuichezea Ureno katika mechi yao ya kwanza kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 licha ya kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Jamhuri ya Ireland, lakini amewekewa mtego.
Basi la Barca lashambuliwa London BASI rasmi lililokuwa limebeba timu ya Barcelona lilishambuliwa usiku wa juzi jijini London wakati likienda kwenye Uwanja wa Stamford Bridge kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Chelsea.
TFF yaufungia Mkwakwani, Coastal, African Sports kusaka chimbo jipya SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeufungia Uwanja wa Mkwakwani uliopo Tanga kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
Wafanyakazi Man United ni kicheko tu WAFANYAKAZI wa Manchester United watasherehekea msimu wa sikukuu kwa kufanya sherehe ya Krismasi pamoja kwa mara ya kwanza tangu ujio wa Sir Jim Ratcliffe.
Maresca: Hincapie? Ile ni kadi nyekundu KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amelalamika kwenye mechi ya dhidi ya Arsenal, timu zote mbili zilipaswa kumaliza zikiwa na wachezaji 10 uwanjani.
Sh317 milioni zatua Ligi ya Kikapu Taifa LIGI ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) inayoendelea kuchezwa kwenye Uwanja wa Chinangali mkoani Dodoma imelamba udhamini wa Sh317,025,900 kutoka kampuni ya BetPawa.
Mamadou Sakho kaona sasa inatosha, basi BEKI wa zamani wa Liverpool, Mamadou Sakho, ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 35.