Van Dijk aonya gemu ya Arsenal BEKI wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk amewaonya wachezaji wenzake kwenye kikosi hicho kwamba wanapaswa kukaza buti kama kweli wanataka kutetea taji la Ligi Kuu England msimu huu.
McCarthy amtaja Jose Mourinho Kenya KOCHA wa Kenya, Benni McCarthy amesema ushindi wao wa kihistoria dhidi ya Morocco kwenye CHAN 2024 umetokana na mbinu alizojifunza kutoka kwa Jose Mourinho, akisisitiza kucheza pungufu ya...
Nkunku kukwamisha dili la mkali Simons MPANGO wa Chelsea wa kutaka kumjumuisha Christopher Nkunku kwenye dili la kumsajili Xavi Simons wa RB Leipzig linaripotiwa kufeli.
Skauti West Ham akodolea macho CHAN MASHINDANO ya CHAN 2024 yanaendelea kuwavuta wadau mbalimbali wa soka wakiwemo maskauti kutoka kila pembe ya dunia kwa ajili ya kutazama vipaji vya ndani katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
CHAN 2024: Faini zarindima CAF, Kenya yapewa onyo KAMATI ya Nidhamu la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nidhamu katika michuano ya CHAN inayoendelea na kutoa uamuzi kadhaa dhidi ya vyama vya soka...
Solskjaer kibarua kimeota nyasi KOCHA, Ole Gunnar Solskjaer amefutwa kazi na klabu ya Besiktas ya Uturuki.
Mourinho anapiga tu pesa kijanja JOSE Mourinho ameweka mfukoni mkwanja mrefu karibu Pauni 100 milioni kwa sababu moja tu ya kufutwa kazi kwenye timu anazozinoa.
Kenya yalia na idadi ya mashabiki CHAN SERIKALI ya Kenya imewasilisha ombi rasmi kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) likitaka idadi ya mashabiki watakaoshuhudia leo, Ijumaa mechi ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 kati ya...
Sancho kufanywa chambo kwa Baleba WINGA Jadon Sancho huenda akatumika kama sehemu ya ofa ya Manchester United katika mchakato wao wa kuwashawishi Brighton ili kumnasa kiungo wa boli, Carlos Baleba.
Joe Cole karata yake kwa Wirtz STAA wa zamani wa Liverpool, Joe Cole amesema haamini Florian Wirtz hawezi kushindwa kutamba kwenye Ligi Kuu England kwa sababu tu amesajiliwa kwa pesa nyingi kwamba itamfanya kuwa na presha.