Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. EXCLUSIVE: Akpan afunguka mazito, Simba yamkataa

    DIRISHA kubwa la usajili msimu huu miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa kwa mvutano alikuwa kiungo wa Simba, Victor Akpan baada ya kuonyesha kiwango bora msimu uliopita akiwa Coastal Union.

  2. Okrah: Gari limewaka

    NYOTA wa Simba, Augustine Okrah anaamini sasa ni kama gari limewaka kwani ushindi walioupata dhidi ya Geita utasaidia kulainisha mechi ya Kagera leo saa 12 jioni.

  3. Zoran: Subirini utamu unakuja

    ACHANA na mchezo wa jana, lakini kocha wa Simba, Zoran Maki amesema mashabiki wao hawapaswi kuwa na presha, kwani licha ya kufanya vibaya katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kwa mabao...

  4. DEJAN: Kama mlijua Simba imepigwa, subirini muone

    ‘MLETE mzunguuu!’ Ni moja ya maneno yanayoshika kasi midomoni mwa Watanzania na hasa mashabiki wa Yanga ambao wanawakejeli watani zao, Simba hasa baada ya utambulisho wa nyota mpya wa Wekundu wa...

  5. Nabi: Mtaona mengi sana

    KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamba kwamba mashabiki wataona mengi mazuri kwenye kikosi chake msimu huu.

  6. Inonga, Outtara waingia mtegoni Simba

    BAADA ya kupoteza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga, wachezaji wa Simba hawakuwa na mapumziko kwani siku iliyofuata walianza mazoezi ya kuikabili Geita Gold kwenye mechi yao ya kwanza ya Ligi...

  7. Mnigeria Simba aomba radhi kisa Yanga

    WINGA mpya wa Simba, Nelson Okwa amesema bado haamini kama timu hiyo imepoteza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga, kisha akaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo na kuahidi kwenda kujipanga upya...

  8. Zoran: Tulieni nyie, tumeshajua tatizo

    SIMBA juzi ilianza vibaya msimu mpya wa 2022-2023 kwa kulala mabao 2-1 mbele ya watani wao, Yanga katika mechi ya Ngao ya Jamii, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam...

  9. Rayvanny aiteka Chamazi Complex

    Msanii wa kizazi kipya aliyeaga kwenye lebo ya WCB, Rayvanny amefanya shoo amewateka mashabiki katika Uwanja wa Azam Complex kwa burudani kali aliyotoa.

  10. Zaka awaita mashabiki Chamazi

    OFISA habari wa Azam FC, Thabit Zakaria (Zaka Zakazi), amesema mashabiki wa timu hiyo wanatakiwa kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya Azam Complex Chamazi.

Previous

Page 15 of 89

Next