Fei Toto aomba kuchangiwa fedha aende CAS Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum kwa mara ya kwanza leo ameomba watanzania na wapenzi wa soka kumchangia fedha ili aende Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa ya michezo CAS
Mwenyekiti wa Kitayosce, kocha hatiani kwa upangaji matokeo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewafungia maisha wanafamilia wawili wanaojishughulisha na mpira wa miguu, mwenyekiti wa Kitayosce Fc Yusuph Kitumbo na Kocha Ulimboka Mwakingwe kwa...
Simba kuamua hatima ya Ruvu shooting kubaki Ligi Kuu Bara Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni roundi 28 na leo Simba inawakaribisha Ruvu Shooting katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Ruvu Shooting huu ni mchezo unaoamua hatima yao ya kusalia...
Robertinho azungumzia ishu ya Ally Salim Kocha Mkuu wa Simba amezungumzia suala la kipa, Ally Salum kufanya makosa katika mchezo na Namungo, Robertinho alisema sio muda wa kuanza kumtupia lawama bali anatakiwa kupongezwa kwa jitihada...
Sven atua Wydad awekwa mtego Mamelodi Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afika Wydad Casablanca wamemtangaza Sven Vandenbroeck kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo na kuchukua nafasi ya Juan Carlos Garido aliyebwaga manyanga.
Mbrazili wa Singida BS azua gumzo benchi la Yanga KIUNGO wa Singida BS, Bruno Gomez alizua gumzo zaidi jana baada ya kwenda kwenye benchi la Yanga na kuwasalimia wachezaji wa akiba pamoja na makocha wao kabla mchezo haujaanza.
TFF: Fei Toto ni mchezaji wa Yanga KAMATI ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefutilia mbali shauri la kiungo wa Yanga Feisal Salim leo Machi 6, 2023.
Simba OUT CAFCL Simba SC imetolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya kumaliza dakika 90 kwa usawa wa mabao 1-1 katika mechi mbili za robo fainali dhidi ya...
Ishu ya Morrison Yanga iko hivi... YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi...
Waamuzi Simba, Yanga wapewa Kombe la Dunia Rekodi zinaonyesha katika michezo 16 aliyochezesha refa huyo, timu za nyumbani zimeshinda mechi 10, huku zile za ugenini zikishinda minne wakati sare zikiwa mbili na kati ya hizo ametoa kadi za...