Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9659 results for Mwandishi :

  1. Amorim: Mastaa Man United walaumiwe

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema wachezaji wa Manchester United ndio wanapaswa kulaumiwa na kuwajibika kwa hali inayoendelea ya kufukuzwa kwa wafanyakazi wa timu hiyo.

    Mastaa Pict
  2. Man City, Madrid vita kwa Wirtz

    MANCHESTER City inajiandaa kuchuana jino kwa jino na Real Madrid kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kuwania saini ya kiungo wa Pauni 85 milioni, Florian Wirtz.

  3. Slot: Wote macho kwa Mo Salah

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anasema anaamini kila mchezaji wa timu hiyo anapaswa kufikia kwenye viwango vya supastaa Mohamed Salah.

  4. United ya Amorim moto wake hatari, Chelsea yashinda

    Manchester United imeonekana kurudisha makali yake baada ya kuichapa Everton mabao 4-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

  5. Slot akanusha mastaa wake kuvimba

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesisitiza kwamba wachezaji wake hawajioni kama wameshachukua ubingwa na kujivuna licha ya matokeo mabaya wanayopata hivi karibuni.

  6. Kumbe Van Dijk anabaki Anfield

    BEKI kisiki na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk ameweka wazi kwamba yupo karibu kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia katika viunga hivyo kwa muda mrefu zaidi.

    VAN Pict
  7. Bellingham: Tuna bahati kufungwa bao 3 tu, zingekuwa nyingi

    KIUNGO nyota wa Real Madrid, Jude Bellingham amesema timu yake ilikuwa na bahati sana kufungwa mabao matatu tu katika mechi yao ya mkondo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...

    JUDE Pict
  8. Kesi ya Man City yapigwa kalenda

    LICHA ya ripoti kudai kwamba kesi yao inaweza kutolewa hukumu kabla ya dirisha la majira ya kiangazi mwaka huu, sasa Manchester City itatakiwa kusubiri kwa muda mrefu zaidi kabla ya kujua hatma...

    MAN CITY Pict
  9. Gundogan ataja tatizo kushuka kwa Man City

    KIUNGO wa Manchester City, Ilkay Gundogan amesema kati ya vitu vilivyochangia kushuka kwa kiwango cha timu ni baadhi ya wachezaji kupoteza hamu ya kutawala na kushinda mechi kama ilivyokuwa zamani.

  10. Ulaya yote mambo ni motomoto

    BALAA hilo. Ndicho unachoweza kusema wakati vita ya kusaka ubingwa wa Bundesliga utakapoendelea, ambapo Bayern Munich na Bayer Leverkusen zitakuwa nyumbani kukipiga na vfL Bochum na Werder Bremen...

    Ulaya Pict
Previous

Page 138 of 966

Next