Nabi, Kaizer sharti ni moja Nabi amewaambia anataka kwenda na Kocha Msaidizi, Kocha wa Makipa pamoja na mtu wa video na inaripotiwa siku yoyote wiki hii atatua Sauzi kumaliza dili.
PRIME Simba yalamba dili la Sh4 bilioni KLABU ya Simba imelamba dili nono ya Sh 4 Bilioni baada ya kuingia mkataba mpya wa miaka miwili wa makubaliano ya kutengeneza na kusambaza jezi na Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited.
Kaizer Chiefs yamtaka Nabi TIMU ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inadaiwa kufanya uchunguzi kuhusu uwezekano wa kufanya mazungumzo na kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ili akaifundishe.
Mayele alikacha safari DR Congo kupambania kiatu Mbeya Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amesema kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza alimpa changamoto baada ya kufunga mabao 5 katika mechi dhidi ya Polisi Tanzania na kumsongelea yeye akiwa na 16...
Banda aumia akipasha, Kyombo achukua nafasi yake Kiungo Peter Banda ameumia wakati kikosi cha Simba wakifanya mazoezi mepesi muda mchache kabla ya mechi ya kuanza mwisho msimu huu dhidi ya Coastal Union na nafasi yake kuchukuliwa na Habibu...
Mashabiki USM Alger wajaza uwanja saa tatu kabla ya fainali CAFCC Mashabiki wa USM Alger wajaza uwanja wa Stude du 5 Juillet wenye uwezo wa kubeba mashabiki 62,000, uwanja umeja saa tatu kablya ya fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga...
Hii Young Famous msimu huu inaupiga mwingi sana Nyie nyie mjini kumechangamka haswa baada ya lile jambo ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu Realiy Show ya ‘Young, Famous, and African’ ambayo imewashirikisha matajiri na mastaa, barani Afrika...
Mmoja afariki Dunia kwa Mkapa Leo katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Yanga ikicheza fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger, wakati msongamano wa mashabiki wakiingia uwanjanni muda mchache kabla ya mechi...
Straika anayetakiwa Yanga awakataa Al Akhdar STRAIKA wa Marumo Gallants, Ranga Chivaviro amekataa ofa ya kutoka klabu ya Libya, Al Akhdar akiendelea kuvuta muda kabla ya kuamua wapi pa kwenda.
Haya hapa mashtaka sita yanayomkabili staa wa Yanga Feisal Katika barua ambazo zimevuja iliyoelekezwa kwa Feisal, Mei 16 alipokea barua ya malalamiko kutoka kwa uongozi wa klabu hiyo ikimtuhumu kwa makosa mbalimbali ya kinidhamu. Barua hiyo pia...