Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Banda aumia akipasha, Kyombo achukua nafasi yake

Muktasari:

  • Kiungo Peter Banda ameumia wakati kikosi cha Simba wakifanya mazoezi mepesi muda mchache kabla ya mechi ya kuanza mwisho msimu huu dhidi ya Coastal Union na nafasi yake kuchukuliwa na Habibu Kyombo ambaye alikuwa benchi, Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Kiungo Peter Banda ameumia wakati kikosi cha Simba wakifanya mazoezi mepesi muda mchache kabla ya mechi ya kuanza mwisho msimu huu dhidi ya Coastal Union na nafasi yake kuchukuliwa na Habibu Kyombo ambaye alikuwa benchi, Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Hadi sasa katika uwanja wa Uhuru Simba ipo sare na Coasta Union bao 1-1 huku bao la wananmsimbazi likifungwa na Saido ntibazonkiza ambaye ana mabo 16 sawa na mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele.

Kwa wagosi bao hilo limefungwa na Moubarack Hamza, kwenye msimamo wa Ligi wapo nafasi ya 12 na pointi 34

Wakati Banda anasajiliwa Simba alichukuliwa kama chipukizi lakini miaka inaenda bado Banda hajaonyesha kile kiwango kilichotarajiwa kama mgeni na msimu huu hakuwa wa kiwango kwake, hivyo ana kazi ya kufanya ili kujipa umuhimu kikosi cha kwanza