Haaland apokelewa, mzigo wazuo gumzo NYOTA wa Manchester City, Erling Haaland, amerejea nchini Norway akipokelewa kama shujaa baada ya kuiongoza timu yake kufika robo fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998.
Liverpool yapata mwanya wa kumsajili Barcola LIVERPOOL imepata matumaini mapya katika harakati zake za kumsajili winga wa Paris Saint-Germain (PSG), Bradley Barcola, baada ya rais wa klabu hiyo, Nasser Al-Khelaifi, kushindwa kutoa uhakika...
Zidane akabidhiwa mikoba ya Deschamps, kuanza na Uturuki Shirikisho la Mpira wa Miguu Ufaransa (FFF) leo, Jumanne, Julai 28, 2026 limemtambulisha rasmi Zinedine Zidane kuwa Kocha Mkuu wa timu yao ya taifa.
Simba, Yanga waanza mapema CAF, droo kupangwa Alhamisi Vigogo wa soka Tanzania, Simba na Yanga, wataanza kampeni zao za Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2026/27 kuanzia hatua ya kwanza ya awali, baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuthibitisha...
Magori, Mangungu wazika tofauti Simba, waelekeza nguvu msimu mpya Viongozi wakuu wa Simba, Crescentius Magori na Murtaza Mangungu, wameamua kuweka kando tofauti zao na kuahidi kushirikiana kwa maslahi ya klabu, kufuatia kikao cha Bodi ya Wakurugenzi...
Real Madrid, RB Leipzig zarudi mezani Real Madrid na RB Leipzig zimerejea mezani kuendelea na mazungumzo kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji wa Ivory Coast, Yan Diomande, huku pande zote zikionyesha matumaini ya kufikia makubaliano...
Pete maalum kwa mabingwa Kombe La Dunia SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limethibitisha kuwa washindi wa Kombe la Dunia 2026 watatunukiwa pete maalumu za ubingwa (Championship Rings) kwa mara ya kwanza katika historia ya...
Tuchel aja na ishu ya DNA KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametetea maamuzi yake yaliyosababisha timu hiyo kuondolewa kwenye Kombe la Dunia, akisema tatizo halikuwa mbinu zake bali ni mtazamo wa wachezaji...
Hersi: Ngao ya Jamii ya Yanga yaibwa, awataka walioichukua wairudishe Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, ametoa taarifa iliyowashtua wanachama wa klabu hiyo baada ya kufichua kuwa taji la Ngao ya Jamii walilotwaa mwaka 2025 limeibwa.