Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9653 results for Mwandishi :

  1. Xavi Simons nje msimu mzima, kukosa Kombe la Dunia

    KIUNGO mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Xavi Simons amevunjika moyo baada ya kuthibitika atakosa msimu uliosalia pamoja na nafasi ya kucheza Kombe la Dunia akiwa na timu ya taifa ya Uholanzi...

    XAVI Pict
  2. Kane atajwa chambo kwa Gordon

    KLABU ya Bayern Munich, imeendelea kuvuna vipaji kutoka Ligi Kuu England katika miaka ya hivi karibuni huku nyota kama Harry Kane, Michael Olise na Luis Diaz wakihamia Ligi Kuu Ujerumani na...

  3. Carrick afichua mpango wa kusuka upya kikosi

    KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick amesema klabu hiyo lazima iendelee kusonga mbele dirisha muhimu la usajili wa majira ya kiangazi litakapofunguliwa.

    CARRICK Pict
  4. Kuelekea Kombe la Dunia, mastaa Madrid watemwa Hispania

    KOCHA Mkuu wa Hispania, Luis de la Fuente, ametangaza kikosi kwa ajili ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026, huku akileta mshangao mkubwa baada ya kuwaacha wachezaji wa Real Madrid. Hii ni...

    SPAIN Pict
  5. Baada ya kichapo, Reel Dream yarudisha mzuka

    BAADA ya Reel Dream kuifunga Ukonga Queens kwa pointi 70-54, katika Ligi ya kikapu Dar es Salaam (WBDL), nyota wa timu hiyo Maria Boniventura amesema ushindi wao huo umerejesha morali kwa...

  6. Lionel Messi ashusha presha Kombe la Dunia 2026

    Kambi ya timu ya taifa ya Argentina imepata habari njema baada ya kubainika kuwa jeraha la nahodha Lionel Messi siyo kubwa kama ilivyohofiwa.

    MESSI Pict
  7. Marekani yataja sababu refa Msomalia kuzuiwa

    Msemaji wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani (CBP), amethibitisha kuwa mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan, alizuiwa kuingia nchini humo kutokana na wasiwasi unaohusiana na...

  8. Anthony Gordon apewa miaka mitano Barcelona

    FC Barcelona wametangaza rasmi usajili wa Anthony Gordon baada ya kukamilisha hatua za mwisho za uhamisho wake leo Ijumaa Mei 29,2026.

  9. Alonso atua! Apagawisha mashabiki Chelsea

    ENZI mpya zimeanza Chelsea baada ya kocha mpya, Xabi Alonso, kutua rasmi katika kituo cha mazoezi cha Cobham katika siku yake ya kwanza ya maandalizi ya msimu mpya, huku mashabiki wa klabu hiyo...

    ALONZO Pict
  10. Ronaldo afunguka maisha magumu baada ya kustaafu soka

    GWIJI wa soka wa Brazil, Ronaldo Nazario de Lima, amefunguka kuhusu kipindi kigumu alichopitia baada ya kustaafu soka mwaka 2011, akisema aliingia kwenye msongo mkubwa wa mawazo uliomfanya hata...

Previous

Page 127 of 966

Next