Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9645 results for Mwandishi :

  1. Duh! Kiungo Dani Olmo ang’oka jino uwanjani

    KIUNGO wa Barcelona, Dani Olmo ameng’oka jino baada ya kugongana na beki wa Real Betis, Marc Bartra katika mchezo wa La Liga uliofanyika Jumamosi.

  2. Amorim aanika mikakati yake Man United

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameainisha mipango yake kuelekea dirisha lijalo la usajili huku taarifa zikieleza kwamba nusu ya wachezaji wa kikosi chake wanaweza kuondoka.

  3. Mourinho aitaka Real Madrid

    MBWATUKAJI Jose Mourinho ameacha mlango wazi kuhusu kurejea tena Real Madrid, akisisitiza kuwa daima amekuwa shabiki mkubwa wa timu hiyo.

  4. Jamie Carragher: Salah huyu mbona wetu

    LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher ametaja sababu inayomfanya aamini kuwa Mohamed Salah ataongeza mkataba wa kuendelea kusalia Liverpool baada ya msimu huu kumalizika.

  5. Vanessa: Muziki wa kidunia una ushetani

    Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, ameweka wazi kutorudia kufanya muziki wa kidunia huku akiuhusisha na masuala ya kishetani.

  6. Slot: Mchawi wa Federico Chiesa ni Salah

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anaamini sababu mojawapo iliyochangia staa wa timu hiyo, Federico Chiesa kutoonyesha kiwango kilichotarajiwa ni ubora mkubwa unaoendelea kuonyeshwa na Mohamed Salah...

    SLOT Pict
  7. Ronaldo amaliza ubishi wa Messi

    STAA wa Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amesema mjadala wa yeye na Lionel Messi juu ya nani bora hautokoma hata akifanikiwa kuchukua taji la Kombe la Dunia.

  8. Wakufunzi watano freshi Arsenal

    ARSENAL imefikia makubaliano ya kuwasainisha mikataba mipya wakufunzi watano ambao ni sehemu ya benchi lao la ufundi chini ya kocha Mikel Arteta.

    WAKUFUNZI Pict
  9. Bayern yaiweka patamu Arsenal kwa Kimmich

    MABOSI wa Bayern Munich wamesema tena kwa msisitizo hawataongeza ofa yao kwa Joshua Kimmich licha ya mazungumzo ya mkataba mpya kukwama.

    KIMICH Pict
  10. Pep: Tukifuzu UEFA tunashukuru

    PEP Guardiola amesisitiza kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu yatakuwa mafanikio makubwa sana Manchester City.

Previous

Page 110 of 965

Next