Viwalo vya pesa hivi hapa, timu zinazovalishwa jezi za bei mbaya EPL DILI jipya la Liverpool la Pauni 300 milioni walilosaini na kampuni ya adidas kwa ajili ya kutengeneza jezi zao linatajwa kuwa moja ya dili tamu kabisa lililowahi kutokea kwenye Ligi Kuu England.
PRIME Sowah, Yanga kumekucha, mambo yapo hivi SINGIDA Black Stars inachekelea usajili wa kumshusha nchini mshambuliaji Jonathan Sowah, lakini wakubwa wamemuona ikiwemo Yanga na hesabu mpya ni kwamba imemuachia msala kocha wa timu hiyo...
Kimenya, Elfadhili warejeshwa Prisons WACHEZAJI wakongwe wa Tanzania Prisons waliokuwa wamepangiwa majukumu mengine nje ya timu, Jumanne Elfadhili na Salum Kimenya wamerejeshwa na wameshajiunga na wenzao kambini ili kuongeza nguvu...
Tumbishie? James anasema yeye ni bora kuliko Zidane, Modric WANASEMA hivi, kama husifiwi, jisifu mwenyewe. Ndicho unachoweza kusema baada ya James Rodriguez kudai kwamba yeye ni mchezaji bora kuzidi Zinedine Zidane.
Mbappe: Wale kina Ronaldo ni magwiji STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe amekataa kulinganishwa na supastaa Cristiano Ronaldo baada ya kukaribia kuipiku rekodi ya mabao ya mkali huyo wa Ureno katika msimu wake wa kwanza na miamba...
Raphinha katika rada za Manchester United MANCHESTER United imewasilisha ofa ya Euro 70 milioni kwenda Barcelona kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo na Brazil, Raphinha, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Salah aibu! aweka rekodi mbaya Carabao Cup SUPASTAA, Mohamed Salah ametengeneza rekodi mbaya kabisa kwenye mechi aliyoshuhudia timu yake ya Liverpool ikikumbana na kipigo kutoka kwa Newcastle United kwenye fainali ya Kombe la Ligi...
Hawa jamaa hata Wenger anaenjoi GWIJI wa Arsenal, Arsene Wenger ametaja wachezaji watano ambao anafurahia kuwatazama wakiwa wanacheza mwaka huu 2025 – huku orodha hiyo ikiwahusu masupastaa wa Real Madrid, Barcelona na Liverpool.
PRIME PUMZI YA MOTO: Yanga, Simba zisitufanye tuidharau busara "Mpira wetu unaharibiwa na TFF kwa sababu wanatumia BUSARA badala ya kanuni."
UTAMU UPO HAPA: Newcastle inavyonogesha vita ya michuano ya Ulaya kwa kushinda Kombe la Ligi NEWCASTLE United imeshinda taji lake la kwanza kwa msimu huu wa 2024/25 baada ya kuichapa Liverpool 2-1 kwenye fainali ya Kombe la Ligi iliyofanyika uwanjani Wembley, Jumapili.