Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9644 results for Mwandishi :

  1. Okwa, Kanoute waliamsha Simba

    NYOTA saba waliokwama kuwepo kambi ya maandalizi ya timu ya Simba kwa msimu mpya (pre season) akiwamo Nelson Okwa na Sadio Kanoute jana walijumuika wenzao kwenye mazoezi ya timu hiyo iliyorejea...

  2. Musonda ataka bao la mapema

    BAADA ya kutwaa taji lake la kwanza akiwa na Yanga mshambuliaji Kennedy Musonda amefunguka kuwa ametua timu bora yenye uchu wa mataji anajiona akitwaa taji la Afrika na kuandika rekodi mpya.

  3. Yacouba aipeleka Yanga robo fainali ASFC

    Bao la dakika ya 53 likifungwa na mshambuliaji Yacouba Sogne limetosha kuivusha Yanga kwenda hatua ya Robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuwachapa wenyeji Prisons kwa bao...

  4. Azam FC yasajili beki kutoka Mali

    AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi huyo wa kati ambaye alikuwa kwa mkopo...

  5. PRIME Ngoma aipa masharti Simba

    KIUNGO mkabaji wa Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kusalia kikosini hapo, wasajili wachezaji wenye moyo wa kuipambania timu.

  6. Mourinho aichimba mkwara Chelsea, atamba kuinyamazisha

    Kocha wa Benfica ya Ureno, Jose Mourinho ametamba kuinyamazisha Chelsea katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, itakayochezwa leo Septemba 30, 2025 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge jijini London.

  7. Mbeumo ajilipua Man United, awageukia wenzake

    NYOTA wa Manchester United, Bryan Mbeumo, amewataka wachezaji wenzake wawajibike kufuatia mwanzo mbaya wa msimu huu.

    MBEUMO Pict
  8. Antonio Conte afunguka ishu ya McTominay

    KOCHA wa Napoli, Antonio Conte, amesema hana shida kabisa na huduma ya kiungo wake, Scott McTominay kutokana na kile anachofanya uwanjani, huku akimweka kando kwenye orodha ya wachezaji ambao...

    CONTE Pict
  9. Rice awaza ubingwa Kombe la Dunia

    KIUNGO ghali wa Arsenal, Declan Rice amesema tena kwa msisitizo kwamba England haipaswi kuwa waoga wa kusema itakwenda kushinda taji la Kombe la Dunia.

    RICE Pict
  10. Arteta amtisha straika Gyokeres

    KOCHA Mikel Arteta amemwonya straika wake Viktor Gyokeres angechagua kwenda kujiunga na timu nyingine endapo kama atashindwa kuendana na presha ya kufunga mabao inayomkabili kwa sasa kwenye Ligi...

Previous

Page 104 of 965

Next