Scaloni aingiwa hofu kuhusu Messi Kombe la Dunia 2026
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Scaloni, ni kama ameingiwa na hofu kufuatia kauli yake kwamba hana uhakika wa nahodha wake, Lionel Messi, kama atacheza fainali zijazo za Kombe la...