PRIME WATATOBOA, HAWATOBOI: Kila mmoja ana msala wake Ligi Kuu England MSIMU wa Ligi Kuu England unaelekea ukingoni huku Liverpool ikijiweka kwenye wakati mzuri wa kunyakua taji lao la pili la michuano hiyo.
Vichaka vya straika Isak msimu ujao NEWCASTLE United itakuwa kwenye presha kubwa ya kupambana kubaki na huduma ya straika wao wa mabao, Alexander Isak dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi hasa baada ya kuwaongoza...
Chama, Musonda waendelea kutamba Zambia, Mutale amwagwa Licha ya kutopata muda mwingi wa kucheza katika kikosi cha Yanga, kiungo mshambuliaji Clatous Chama na mshambuliaji Kennedy Musonda wameitwa katika kikosi cha Zambia kwa ajili ya mechi ya...
Huko Liverpool pancha kibao! HIVI karibuni hali ya Liverpool inaonekana kuwa sio nzuri kutokana na matokeo ambayo imekuwa ikiyapata katika michuano mbalimbali.
Greenwood hali si shwari MSHAMBULIAJI wa Marseille, Mason Greenwood huenda akaondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi baada ya kocha Roberto de Zerbi kuendelea kutofurahishwa na utendaji kazi wake.
Arsenal kuvuna mkwanja, ikiichapa Real Madrid MBALI ya kuwapa furaha mashabiki wao, tovuti ya Goal.com imefichua kwamba Arsenal inaweza kupata faida kubwa ya fedha katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa itaishinda Real Madrid na...
Gyokeres, Osimhen kung’oa wachezaji 11 Chelsea CHELSEA huenda ikauza hadi wachezaji 11 katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka huu ikiwa ni pamoja na wachezaji wawili wa England, mshambuliaji Raheem Sterling, 30, na beki mwenye umri wa...
Joe Cole: Bruno Man United wasikuzingue sana LEJENDI wa Chelsea, Joe Cole amemshauri kapteni wa Manchester United, Bruno Fernandes kuachana na timu hiyo katika dirisha lijalo na kujiunga na timu nyingine itakayomwezesha kupata mafanikio zaidi.
Kwa Barcelona! Hili ni pigo KUTOKANA na matatizo ya kifedha, ripoti zinaeleza Barcelona ipo katika hatari ya kupoteza wachezaji 10 kutoka kwenye akademi yao katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Chelsea yasajili wawili kwa mpigo Inaelezwa kuwa Quenda ameigharimu timu hiyo kitita cha pauni 43.7 milioni, huku Essugo yeye akijiunga na Chelsea kwa kitita cha pauni 18.7 milioni.