Arne Slot akalia kuti kavu Liverpool TAARIFA zinasema kwamba, Liverpool inadaiwa kufikia uamuzi wa kumfuta kazi Arne Slot baada ya mashauriano na wachezaji wakubwa wa timu hiyo, kwa mujibu wa vyanzo vilivyo karibu na sakata hilo.
Zamalek farao mpya, Al Ahly mambo magumu Zamalek SC wametangazwa kuwa Mafaroa wapya wa Ligi Kuu ya Misri kwa mara ya 15 katika historia yao baada ya kuifunga Ceramica Cleopatra bao 1-0 katika mchezo wa mwisho wa msimu huu.
Neymar apata jeraha, aanza matibabu Santos MSHAMBULIAJI wa Brazil, Neymar, amepata jeraha la misuli ya 'kiazi cha mguu' (calf injury) litakalomfanya akose mechi zijazo za klabu anayoitumikia ya Santos.
Amorim akataa kazi Benfica, ampa ‘ulaji’ Marco Silva KITENDO cha Ruben Amorim kukataa ofa ya kuinoa Benfica ya Ureno, imempa nafasi kocha wa Fulham, Marco Silva, kuchukua dili hilo.
Casèmiro amaliza minong’ono, kutua Inter Miami KIUNGO wa kati wa Manchester United, Casemiro, amefikia makubaliano binafsi ya kujiunga na klabu ya Inter Miami inayoshirikishi Ligi Kuu ya Marekami (MLS).
Bingwa Saudia kupatikana leo, ni Ronaldo vs Benzema MCHUANO mkali wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia unafikia tamati leo usiku, huku timu mbili vigogo za Al Nassr anayoitumikia Cristiano Ronaldo na Al Hilal anayocheza Karim Benzema...
Emiliano Martinez ‘achizika’ na ubingwa Europa League KIPA wa Aston Villa, Emiliano 'Emi' Martinez, alishindwa kuzuia hisia zake na kuangua kilio cha furaha baada ya kikosi hicho kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Freiburg katika fainali ya...
Aston Villa yamtoa machozi mwanamfalme William MWANAMFALME William amejumuika katika sherehe za kihistoria baada ya klabu anayoishabikia ya Aston Villa kutwaa ubingwa wa Europa League kufuatia ushindi mnono wa mabao 3-0 nchini Uturuki.
Arsenal kumjaza mabilioni Arteta Kocha wa Mabingwa wa ligi Kuu England, Mikel Arteta yuko mbioni kuwa mmoja wa makocha wanaolipwa zaidi duniani wakati wa akijiandaa kusaini mkataba mpya na Arsenal.
"Amini mchakato” umezaa matunda! Umpende au umchukie Arteta anastahili Muda kama huu mwaka jana, Gary Neville alidai mafanikio makubwa zaidi ya Mikel Arteta akiwa Arsenal hayakuwa kutwaa Kombe la FA 2020, bali ni kuendelea kubaki kazini licha ya kupita misimu mitano...