Mayele afuata tuzo yake Congo MSHAMBULIAJI kinara wa Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele ameifuata tuzo yake DR Congo ambayo inatarajiwa kutolewa Januari 7 mwaka huu. Mayele ameondoka jioni hii kuelekea nchini kwao ambapo safari yake...
MZEE WA UPUPU: Diamond, Zuchu picha lilianzia kwa dada mtangazaji DIAMOND Platinumz na Zuchu wameudhihirishia ulimwengu wa mashabiki wao na muziki kwa ujumla kwamba wanaishi kwenye sayari ya ndoto zao, sayari mapenzi! Hii ni baada ya tetesi nyingi na za muda...
Watanzania kushinda zawadi Kombe la Dunia Dar es Salaam. Katika hatua ya kuendeleza hamasa katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar, kampuni ya simu ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya michezo ya kubashiri...
Kinachoitesa Simba ni hiki... KUNA ukweli ambao mashabiki wa Simba wengi hawataki kuusikia kwa kuwa wameaminishwa msimu huu wana kikosi bora sana. Lakini ukisimama karibu na uwanja ukachunguza vizuri ufanisi wa kikosi cha...
MTU WA MPIRA: Yanga imepiga hatua moja, bado 100 mbele NIMEONA sherehe kubwa sana kwa Yanga kufuzu hatua ya makundi. Ni sherehe kubwa mno mithili ya ndoa ya mwanaume aliyegoma kuwa hata na mchumba kwa muda mrefu. Ni sherehe kwa Wanayanga wakubwa na...
Wala mihogo ndo wenye Yanga yao GHAFLA sana nimemkumbuka marehemu Abbas Gulamali. Huyu alikuwa Mwenyekiti wa zamani wa Yanga. Vijana wengi wa siku hizi hawamfahamu kwa sababu hazungumzwi sana. Gulamali alikuwa anaipenda Yanga...
Mchawi Yanga ni huyu hapa! UPEPO mbaya unaendelea kuitesa na kuipeperusha Yanga katika mashindano ya kimataifa, licha ya uwekezaji mkubwa unaonekana kufanywa ndani ya timu hiyo, lakini bado imeshindwa kufuta mwenendo wa...
Mtoto wa Nabi aicheza mechi yote Dar, aichambua Africain lakini lazima wachezaji wetu wahakikishe wanaongeza umakini mkubwa kwanza kutumia nafasi watakazotengeneza lakini pia kasi ya kutengeneza mashambulizi. Kama wachezaji wa Yanga watatanguliza...
NIONAVYO: Hii mechi ya Simba, Yanga sasa iangaliwe kivingine . Haishangazi familia moja wanatoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kushangilia timu tofauti. Waswahili wanasema kuwa kwa kawaida mtu hupenda Yanga na Simba kwanza kisha hupenda mpira wa miguu.
MZEE WA UPUPU: Azam remontanda inawezekana, lakini! WAKIWA ugenini jijini Benghazi huko Libya, Azam FC walifungwa 3-0 na Al Akhdar SC ya huko, na kujiweka kwenye hatihati ya kufuzu raundi inayofuata ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mashabiki wa...