Inonga aipa penalti DR Congo isiyoyabahati Beki kisiki wa Simba Henock Inonga Baka ameipa DR Congo penalti ambayo haikuzaa matunda kwenye mchezo wao wa hatua ya makundi ya AFCON dhidi ya Morocco ulienda mapumziko kwa sasa. Mchezo huo...
Cape Verde yatangulia 16 bora ikimsubiri Salah CAPE Verde imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora ya Fainali za Afcon, mwaka huu zinazofanyika Ivory Coast, ikiwa ni mara ya pili kwenye historia yao. Timu hii ambayo ipo kundi B imefuzu...
Staa Nigeria aliyeumia AFCON, aonekana akicheza Hispania DAKIKA ya 73 kwenye mchezo wa Copa del Rey nchini Hispania kati ya Osasuna na Real Sociedad Januari 17, kocha wa Real Sociedad alimnyanyua Umar Sadiq kutoka benchi na kumuingiza ili achukuwe...
Staa Senegal aaga Afcon baada ya kufiwa baba yake KIUNGO wa Nottingham Forest na timu ya taifa ya Senegal, Cheikhou Kouyate ameondoka kwenye kambi ya Senegal kule nchini Ivory Coast baada ya kufiwa na baba yake. Kwa mujibu wa taarifa...
Zawadi za mkwanja Afcon 2023 zinavyosoma kiutamu MBALI ya wachezaji mbalimbali kukomalia michuano ya Mataifa ya Afrika kizalendo zaidi kwa ajili ya mataifa yao, sababu nyingine zinazofanya wachezaji waonyeshe hali ya kupambana sana huwa ni...
Marefa wa kigeni kuletwa Mapinduzi Cup KATIKA kuhakikisha wanapunguza makosa na lawama juu ya waamuzi, kamati ya mashindano ya Mapinduzi imeweka wazi kwamba inafikiria kuita waamuzi kutoka nje ya Tanzania kwa ajili ya kuchezesha...
Rekodi tamu AFCON 2023 REKODI. Zinawekwa na kuvunjwa. Kwenye Fainali za Afcon, kuna rekodi nyingi, nyingine zimeshavunjwa na nyingine ni za muda mrefu na hadi sasa hazijavunjwa. Afcon 2023, zinatarajiwa kuanza...
Jipange, ziko kambini zikiisubiri AFCON 2023 Ivory Coast JANUARI ndio hii. Ile burudani ya mataifa 24 ya Afrika ndio hiyoo inakaribia. Ni kuanzia Januari 13 hadi Februari 11. Nani atataka kuikosa. Sidhani. Miamba ya Africa inakutana kwenye fainali za...
PRIME Kipa aishi na risasi mgongoni miaka 13 INAWEZEKANA wengi wamesahau, lakini ukweli ni kwamba Januari mwakani itatimia miaka 14 tangu tukio la kushambuliwa kwa msafara wa Timu ya Taifa ya Togo uliyokuwa ukiingia Angola kushiriki Fainali...
Al Ahly yawang'oa kina Benzema Klabu Bingwa ya Dunia WAPINZANI wa Yanga kwenye hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika, Al Ahly wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia inayofanyika nchini Saudi...