Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Inonga aipa penalti DR Congo isiyoyabahati

Beki kisiki wa Simba Henock Inonga Baka ameipa DR Congo penalti ambayo haikuzaa matunda kwenye mchezo wao wa hatua ya makundi ya AFCON dhidi ya Morocco ulienda mapumziko kwa sasa.

Mchezo huo ambao kipindi cha kwanza kimemalizika kwa Morocco kuongoza bao 1-0, Congo ilipata penalti baada ya Inonga kupigwa kiwiko kichwanina Selim Amallah wakati anawania mpira kwenye lango la Morocco.

Baada ya tukio hilo mwamuzi alienda kijiridhisha kwenye VAR na kuipa Congo penalti ambayo walikosa.

Penalti hiyo iliyopigwa na Cedric Bakambu  dakika 41  iligonga mwamba  na kutoka nje.