Search

23 results for RUTH AREGE :

  1. Aussems ni kutabasamu tu!

    KOCHA wa AFC Leopards, Patrick Aussems, amefurahishwa na urejeo wa wachezaji wake watano kwenye kikosi chake kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kufuatia kibano cha Shirikisho la Soka la...

  2. Ziara Ababu FIFA imetiki

    KUMBE zile picha zilizokuwa zinazagaa kwenye mtandao wa kijamii zikimuonyesha Waziri wa Michezo, Ababu Namwamba, akiwa na Rais wa FIFA, Gianni Infantino, hazikuwa za PR maze na wala Waziri...

  3. Ndoa kipa Starlets, Yanga Princess yavunjika

    KIPA wa Harambee Starlets, Pauline Kathuruh, amekatiza kandarasi yake na timu ya Yanga Princess inayoshiriki Ligi Kuu Soka la Wanawake Tanzania baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Kathuruh...

  4. Freemason yamweka pabaya Rachier

    MAFANS wa mabingwa wa kihistoria, Gor Mahia, wamemkalia kooni Mwenyekiti wao Ambrose Rachier wakitaka ajiuzulu baada ya kukiri hadharani yeye ni mwanachama wa Jumuiya ya Freemason. Barua...

  5. Miujiza ya Harambee Stars inaendelea

    TIMU ya soka ya taifa, Harambee Stars, ambayo haijacheza mechi yoyote ya kimataifa tangu kufungiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) mapema mwaka huu, imepanda nafasi moja katika viwango...

  6. Danadana FKFPL zinaendelea

    KWA mara nyingine tena Kamati ya Mpito ya Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), hapo jana ilitoa taarifa kuhairisha kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Kenya 2022/23 huku zikiwa zimesalia siku 14...

  7. Simba Queens yakomba majembe Starlets

    WACHEZAJI wawili wa Harambee Starlets straika Jentrix Shikangwa na beki Ruth Ingotsi Mukalukho wanatarajiwa kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, Simba Queens, kwa...

  8. Rais FKF kizimbani

    JAJI Esther Maina amesema hana mamlaka kisheria kumzuia Mkurugenzi wa Mashitaka ya Umma kumfungilia kesi Rais wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF), Nick Mwendwa, ambaye kwa siku za hivi karibuni...

  9. Sofapaka yaibomoa Kibera Black Stars

    MABINGWA Ligi Kuu Kenya 2009, Sofapaka FC, wamemteua Paul Ogai aliyekuwa akiifundisha Kibera Black Stars kuwa kocha msaidizi. Taarifa ya Sofapaka kwenye mtandao wa kijamii ilidhibitisha kumnasa...

  10. KCB kukita kambi Meru

    KLABU ya KCB inatarajiwa kusafiri hadi kaunti ya Meru wiki ijayo kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na msimu mpya Ligi Kuu Kenya. Wakiwa huku, KCB inayofundishwa na Zedekiah ‘Zico’ Otieno...

Previous

Page 2 of 3

Next