Wasanii wa vichekesho watawala Kwa Mkapa IKIWA imesalia saa Moja kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kombe la shirikisho kati ya Simba dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, wasanii mbalimbali wa vichekesho tayari wameshawasili uwanjani hapa.
WAFCON: Twiga Stars njia hii hapa DROO ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa upande wa wanawake (Awcon), ilifanyika juzi usiku jijini Sale, Morocco na timu ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi ‘C’ lenye bingwa mtetezi Afrika...
WANAPENYAJE? Vita ya mwisho kusaka tiketi Afcon 2025 Kesho na keshokutwa itakuwa ni mwisho wa kuzisaka timu 24 zitakazoshiriki mfainali za mataifa ya Africa (AFCON), zitakayofanyika kuanzia Desemba 21 mwakani hadi Januari 18, 2026.
HESABU ZA VIDOLE: Kufuzu Afcon kuna makundi hayajajielewa RAUNDI ya nne ya mechi za hatua ya makundi kufuzu Afcon 2025, Morocco tayari zimepigwa huku Nigeria na Libya zikishindwa kucheza mchezo wao kutokana na mambo yanayoelezwa ni fitna za kisoka...
Senegal yaachana na Cisse CHAMA cha Soka Senegal kimetangaza kuachana na Kocha wa timu ya taifa, Aliou Cisse ambaye mkataba wake ulimalizika Agosti, mwaka huu. Cisse ambaye amekuwa akiinoa Senegal tangu 2015, ni mmoja...
Hamilton alia na afya yake ya akili DEREVA wa Formular 01, Lewis Hamilton amefichua kuwa amekuwa na msongo wa mawazo kutokana presha anapokuwa anashindana kwenye mashindano mbalimbali ya magari.
Kansa yatajwa kumuondoa Mutombo LEJENDI wa NBA, Dikembe Mutombo, ambaye alifariki juzi Jumatatu ameripotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na saratani ya ubongo iliyomtesa miaka miwili.
Milio ya risasi yaahairisha mechi ya Hockey MECHI ya hockey iliyochezwa Philadelphia, ililazimika kusimamishwa na wachezaji kukimbilia vyumbani baada ya milio ya risasi kusikika uwanjani.
Kocha wa Dubois afunguka siri ya kumpiga AJ KOCHA wa bondia, Daniek Dubois amefichua kuwa moja kati ya vitu vilivyochangia bondia huyo kushinda pambano dhidi ya Anthony Joshua ulikuwa ni ujumbe wa maneno 16 aliompa kabla ya kupanda ulingoni.
Man United inajitafuta; Ten Hag anaponea wapi?- Sehemu ya pili APRILI 2022, aliyekuwa kocha wa muda wa Manchester United, Ralf Rangnick alisema timu hiyo inahitaji juhudi za makusudi, kukifanyia maboresho makubwa kikosi hicho ili kuondoa tatizo ambalo...