Search

893 results for Thomas Ng'itu :

  1. Ni mwendo wa wachezaji kupishana

    WACHEZAJI wa Ihefu, Kiungo Shaban Msala na mshambuliaji Charles Ilamfya wamejiunga na Mtibwa Sugar baada ya kuvunjiwa mikataba yao. Wawili hao walikuwa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Ihefu,...

  2. Kwa Chilunda ni uamuzi mgumu

    DILI la mshambuliaji wa Simba, Shaban Chilunda kujiunga na klabu ya KMC nusra liingie mchanga, kisa kilikuwa ni mambo ya maslahi. Nyuma ya kutua kwake KMC, yapo mambo ambayo viongozi wa Simba...

  3. Ihefu yadaka kiungo wa AFCON

    MABOSI wa klabu ya Ihefu hawatanii kwani wameamua kukitengeneza kikosi chao kwenye dirisha hili dogo kwa kumsajili kiungo mkabaji, Amade Momade ‘Amadou’ anayekipiga katika timu ya Taifa Msumbiji...

  4. Kapama akwepa wajeda

    KIRAKA Nassor Kapama ameachana na ofa ya wajeda (Mashujaa Fc) na kuamua kwenda kujiunga na klabu ya Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miezi sita. Kapama amefikia hatua hiyo baada kuvunja mkataba wake...

  5. Rekodi za Wydad ugenini kuibeba Simba

    Wakati kocha Abdelhak Benchikha akisisitiza mechi ya leo ni sawa na fainali kwao, rekodi za Wydad kwenye mechi 10 za karibuni ugenini zinafufua matumaini kwa Simba kupata pointi tatu zitazowapa...

  6. Makocha Simba, Wydad watambiana

    Makocha wa timu za Simba na Wydad AC ya Morocco kila mmoja kwa wakati wake ametamba kufanya vizuri katika mchezo wa kesho Jumanne. Mechi hiyo ambayo ni ya marudiano hatua ya makundi ya Ligi ya...

  7. Simba, Yanga wapewa mchongo CAF

    Hakuna namna, lazima kushinda na tusifungwe, ni kauli za makocha na wachezaji wa zamani wakiueleza mchezo wa kesho wa Simba na Wydad na ule wa Yanga dhidi ya Medeama keshokutwa. Mechi hizo ni...

  8. PRIME Kiungo Tp Mazembe, beki Jwaneng wanukia Singida Bs

    KLABU ya Singida Fountain Gate inatajwa kuwa ipo kwenye mazungumzo ya kina na aliyekuwa kiungo wa TP Mazembe ya DR Congo, Miche Mika anayekipiga katika kikosi cha FC Saint Eloi Lupopo kwa...

  9. PRIME Benchikha apata watatu Simba

    VIUNGO watatu wa Simba, Sadio Kanoute, Fabrice Ngoma na Mzamiru Yassin wamemwagiwa sifa na kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha. Kama ambavyo kocha aliyepita wa Simba, Oliveira Roberto...

  10. Prisons yapata mtathmini mchezo

    KLABU ya Tanzania Prisons ipo mbioni kumtangaza Faraji Muya 'Enzo' kuwa mtathmini mchezo (Video Analyst) kwa njia ili kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye Ligi Kuu. Enzo alikuwa meneja...

Page 1 of 90

Next