Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

105 results for Miguel Suleyman :

  1. Neema aipaisha Tanzania Kwibuka T20 Rwanda

    Neema Pius alishirikiana vyema na Fatuma Kibasu kuifanya Tanzania kuibuka kinara wa mikimbio katika michuano ya Kumbukumbu ya Kwibuka iliyomalizika wikiendi iliyopita, jijini Kigali, Rwanda.

    NOELA Pict
  2. Tanga, Moro zang’ara UMITASHUMTA

    TIMU za Morogoro na Tanga zimeanza kwa moto michuano ya Michezo ya Shule za Msingi nchini (UMITASHUMTA) inayoendelea mkoani Iringa kwa kuzisambaratisha Dodoma na Dar es Salaam mtawalia.

    UMITASHUMTA Pict
  3. Vita ya injini kurindima Dar

    BARABARA za vumbi ndani ya viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam zimeandaliwa kuelekea raundi ta tatu ya mbio fupi za magari, keshokutwa Jumapili.

    INJINI Pict
  4. Dar Sprint yamtega tena Birdi Tanganyika Packers

    BAADA ya kushinda mashindano matatu mfululuzo ya mbio za magari hadi nusu ya mwaka huu, Manveer Birdi atakuwa na mtihani mwingine mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Tanganyika Packers...

    SPRIT Pict
  5. Pak Stars, Gymkhana zafunika daraja la tatu

    Ligi ya TCA-Diwa kwa wanaume, Ligi ya kufuzu michuano ya Caravans na Ligi B ya TCA kwa wanaume ndizo zilizoipamba kriketi mwishoni mwa juma.

    STARS Pict
  6. Tanzania yapania taji Kwibuka T20

    TIMU ya taifa ya Kriketi ya Wanawake imewasili, Rwanda tayari kwa michuano ya kriketi ya mizunguko 20 ijulikanayo kama Kwibuka Women T20 inayoanza kesho Jumanne jijini Kigali, ikitarajiwa kufikia...

    T20 Pict
  7. TZ Green yaanza kibabe TCA Majaribio

    BAADA ya kupoteza mara nyingi dhidi ya TZ Blue katika mechi za majaribio kwa ajili ya kusaka kikosi cha timu ya taifa ya kriketi, TZ Green, hatimaye imeweza kufuta uteja baada ya ushindi wa...

    GREEN Pict
  8. Pandya arudi mbio za magari

    BINGWA wa zamani wa mbio za magari nchini, Dharam Pandya ametangaza rasmi kurudi mchezoni na atakuwa mmoja wa washiriki katika mbio za ufunguzi wa msimu mkoani Iringa mwishoni mwa juma.

    PANDYA Pict
  9. Iringa kujenga uwanja wa gofu

    MKOA wa Iringa umeanza mkakati wa kujenga uwanja wa kisasa wa gofu utakaojulikana kama Mkwawa Golf Course ili kuendeleza mchezo huo mkoani huo na nchini kwa jumla.

    IRINGA Pict
  10. Tanzania vitani mbio za magari ubingwa Afrika

    MADEREVA wa Tanzania, Yassin Nasser na Prince Charles Nyerere wanaingia vitani leo mjini Mbarara ambako raundi ya pili ya mashindano ya mbio za magari ubingwa wa Afrika yanaanza kwa mbio za mchujo.

Page 1 of 11

Next