Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

136 results for DK. SHITA SAMWEL :

  1. PRIME Mapigo matano yaliyoipasua hisia Simba

    JIONI ya Jumapili kwenye Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar ilikuwa ni huzuni kwa Watanzania baada ya Simba kushindwa kunyakua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

  2. Simba wacheze na akili za Berkane

    MCHEZO wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika umepangwa kuchezwa Jumapili, Mei 25, 2025, katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 10 jioni.

  3. Kila kona ni Yamal tu! kuwa kama yeye fanya hivi

    KINDA wa klabu ya Barcelona, Lamine Yamal, mwenye umri wa miaka 17 akiwa ameishacheza zaidi ya mechi 100 na kupata mafanikio makubwa, amekuwa gumzo kila kona duniani kutokana na umahiri wa...

  4. SPOTI DOKTA: Majeraha ya maungio yako hivi

    USIKU wa Jumanne katika nusu fainal ya pili Ligi ya Mabingwa Ulaya Ulaya ilishuhudiwa mechi kali kati ya Inter Milan na Barcelona iliyochezwa kwenye Uwanja wa San Siro, Italia.

  5. PRIME BALAA! Tishio jipya afya za mastaa Ligi Kuu bara

    LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kabla ya kufikia tamati, huku zikiwa zimeshapigwa mechi 210 ikiwamo iliyochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kati ya wenyeji Simba na Mashujaa...

    New Content Item (1)
  6. SPOTI DOKTA: Ugumu wa mechi Simba SC ilistahili kufanya haya

    JUMAPILI iliyopita Simba iliandika historia baada ya kutinga fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuing’oa Stellenbosch ya Afrika Kusini kwa ushindi wa jumla wa bao 1-0...

    New Content Item (1)
  7. SPOTI DOKTA: Balaa la mbu katika vibanda umiza

    MOJAWAPO wa burudani nzuri inayochangamsha na kuleta furaha isiyo na kifani kwa wapenda kandanda ni kwenda kutazama soka mtaani - katika mabanda ya Uswahilini maarufu vibandaumiza au baa.

  8. PRIME SPOTI DOKTA: Siri mastaa kutumia tiba ya oksijeni

    TIBA ya oksijeni ya Hyperbaric kifupi HBOT hivi sasa imekuwa maarufu kwa wanamichezo duniani ikiwamo wanaocheza kandanda, kikapu, mpira wa magongo, wapiga mbizi na wanariadha.

  9. SPOTI DOKTA: Beki wa Arsenal kufanyiwa upasuaji iko hivi

    Klabu ya Arsenal ilipata pigo wiki iliyopita siku ya jumannne katika mchezo wa ligi kuu EPL dhidi ya Fulham mara baada ya beki wake toka nchini Brazil Gabriel Magalhàes kupata majeraha mabaya ya...

    DOKTA Pict
  10. PRIME SPOTI DOKTA: Bondia kufia ulingoni sababu ni hii

    KUELEKEA Sikukuu ya Eid Fitr jijini Nigeria, iligeuka huzuni katika mchezo wa masumbwi baada ya bondia Gabriel Olanrewaju kufariki dunia wakati wa pambano baada ya kudondoka katika raundi ya 10..

Page 1 of 14

Next