Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Amorim aonyesha hasira zake Man United

Amorim Pict
Amorim Pict

Muktasari:

  • Man United ambayo ilianza kwa kuongoza kupitia bao la Alejandro Garnacho,i walijikuta nyuma baada ya Glimt kusawazisha na kuongoza kwa mabao ya Hakon Evjen na Philip Zinckernagel.

MANCHESTER, ENGLAND: KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim alionekana kuwa na hasira kutokana na kosa moja ambalo wachezaji wake walikuwa wakilifanya wakati wa mchezo wao wa  Europa League dhidi ya Bodo/Glimt. 

Man United ambayo ilianza kwa kuongoza kupitia bao la Alejandro Garnacho,i walijikuta nyuma baada ya Glimt kusawazisha na kuongoza kwa mabao ya Hakon Evjen na Philip Zinckernagel.

Baadaye Rasmus Hojlund alisawazisha kabla ya mapumziko kwa shuti kali, kisha  akaongeza bao la tatu kwa timu yake katika kipindi cha pili.

Licha ya ushindi huo kulikuwa na makosa mengi ambayo yalisababisha Amorim kuwa na hasira sana hususani katika kipindi cha kwanza.

Kwa mujibu wa ‘The United Stand’, Amorim alikasirika kwa sababu wachezaji wa walishindwa kupeleka mpira pembeni kwa Antony.