PRIME Lawi rasmi ni Mnyama, mkanda mzima upo hivi! DILI LIMEKAMILIKA: Ndivyo ilivyo baada ya klabu ya Simba kumsajili beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi kwa mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao.