Jinsi Isdory alivyoshinda kiasi kikubwa kwa kucheza emPawa17 na betPawa

Friday February 7 2020

 

 Isdory Mtayoba aligundua nguvu ya emPawa17 alivyoshinda TSh 10,000,000 na tiketi ya TSh100, ingawa alikosea matokeo mawili.

Mafanikio ya mkazi huyu wa Mwanza yalikuja kwenye toleo la 15/12 la mchezo wa jackpot ya wikiendi, ambapo alinunua tiketi kadhaa. Ushindi wa juu wa matokeo 17 sahihi ni TSh 200,000,000, na ushindi upo kwa yeyote atakayepatia matokeo 13 sahihi au zaidi.

Alisema: “Nilikua na msisimko na furaha nilivyofahamu kuna mshindi wa TSh 10,000,000. Nilienda moja kwa moja kwenye taarifa za akaunti yangu na kuangalia salio langu na ndipo nilipogundua kuwa ni mimi.”

“Hiki ni kiasi kikubwa sana nilichowahi kushinda, na mama yangu alikua mtu wa kwanza kumwambia,” aliongezea. “Mwanzoni hakuamini mpaka nilivyomuonesha muamala.”

Atafanya nini na ushindi wake huu wa TSh 10,000,000 (kabla ya kodi)? “Nilikua na kiwanja, kwa hiyo sasa nimeanza rasmi kujenga nyumba yangu. Kwa hii hela, nimeshanunua matofali, saruji na vifaa vingine vya ujenzi.” alijibu.

betPawa inawaletea emPawa13 kila katikati ya wiki. Tiketi ina gharimu TSh100 na pia kuna nafasi ya kushinda TSh 10,000,000 kama utapata machaguo yote 13 sahihi.

Advertisement

Je wewe unadhani utakua mshindi wa kiasi kikubwa anayefuata?

Advertisement