Taoussi apata timu ya Ligi Kuu Morocco ALIYEKUWA Kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi ameajiriwa na Klabu ya Kawbad Athletic Club Of Marrakech (KACM) itakayoshiriki Ligi Kuu Morocco msimu ujao 2025/26.
PRIME Fadlu ashikilia faili la kiungo Mkongo KIKOSI cha Simba kinaendelea kupiga hesabu ya kuingiza mashine mpya na kuzitema zile ambazo hazina mipango nayo kwa msimu ujao, lakini kuna kiungo mshambuliaji mmoja kutoka DR Congo ambaye faili...
Mtibwa Sugar yakomalia mastraika, viungo MTIBWA Sugar iliyorejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka msimu wa 2023-2024, imeanza mchakato wa kusaka vipaji vya vijana wenye umri chini ya miaka 17 na U-20 ili kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya...
Kihimbwa ajifunga mwaka Mashujaa TIMU mbalimbali zinaimarisha vikosi kwa kuongeza sura mpya kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, miongoni mwazo ni Mashujaa ambayo tayari imewasainisha baadhi ya wachezaji.
Coastal, Pamba zatua kwa Maseke TIMU za Coastal Union na Pamba Jiji zimeingia anga za kuhitaji huduma za kipa Wilbol Maseke aliyemaliza mkataba wake na KMC msimu ulioisha akiwa na ‘clean sheet’ tatu alizozipata katika mechi...
Tanzania Prisons inaanza na wachezaji hawa BAADA ya uongozi wa Tanzania Prisons kufanya kikao cha tathimini ya timu hiyo ilichofanya msimu uliomalizika na kipi wakifanye ujao, wameanza mazungumzo ya kuwaongezea mikataba wachezaji wa...
PRIME Yanga yafanya jambo kwa kiungo wa Ivory Coast MABOSI wa Yanga hawataki utani. Hilo limeonekana baada kuamua jambo kuhusiana na kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast. Yanga imeshinda mataji yote ya ndani iliyoshiriki msimu uliomalizika...
Mzee Samatta umeenda, hadithi zako tutazisimulia ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Pili Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, aliwahi kusema maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa duniani, kwa sasa msemo huo unatumika kumsimulia maisha ya staa wa zamani wa...
Beki JKT mbioni kuibukia Msimbazi SIKU moja tangu kuvuja kwa taarifa ya ripoti ya kocha wa Simba, Fadlu Davids kutaka asajiliwe majembe sita mapya ili kuunda kikosi bora cha msimu ujao akiwamo beki wa kati, Mwanaspoti limenasa...
Ibenge aanza mambo ya msimu ujao Azam KOCHA Florent Ibenge anayetajwa kuja kuinoa Azam FC msimu ujao, imedaiwa tayari yupo nchini tangu juzi Alhamisi na amekutana na mabosi wa klabu hiyo kuanza rasmi kazi kwa kuweka mipango sawa kwa...