Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
Waamuzi watupwa jela, ZPL yatangaza kiama Wakati waamuzi wawili wakifungiwa kuchezesha Ligi Daraja la Kwanza visiwani hapa, Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imesema itaendelea kufuatilia mashindano yote ili kuchukua hatua kwa atakayekiuka...
Kapombe aacha msala Uhamiaji Baada ya kuchakazwa mabao 3-1 na Simba, Kocha wa Uhamiaji FC, Abdi Saleh amesema beki wa Wekundu hao, Shomari Kapombe alikuwa mwiba huku akikubali shoo yake.
Majirani Derby moto utawaka Zenji leo Kundemba FC ipo nafasi ya 13 kwenye msimamo ikiwa na pointi 19, wakati Mlandege FC inashika nafasi ya tisa ikiwa na pointi 24.
Yanga Zenji waitana kuijadili robo fainali Unguja. MASHABIKI wa Klabu ya Yanga visiwani Unguja kesho Jumamosi wanatarajia kukutana ili kuijadili timu na kuweka mipango mbalimbali ya ushiriki wa mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
ZFF yapangua 32 Bora Kombe la FA KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), imepangua ratiba ya mechi za michuano ya Kombe la FA hatua ya 32 Bora iliyokuwa ianze Jumatatu wiki ijayo, Machi 4 na sasa itaanza...
Simba, Yanga zaivuruga JKU PAMOJA na kupiga pesa kwa kuwauza mastaa wao, lakini JKU imejikuta katika kipindi kigumu kwa kusotea matokeo mazuri Ligi Kuu ya Zanzibar ‘ZPL’ na mashabiki kuhoji hatma ya timu hiyo kwenye mbio...
Mlandege walia hujuma kichapo 5-0 TIMU ya Mlandege FC imeilalamikia Bodi ya Ligi Zanzibar iliyoitaka icheze dhidi ya KVZ licha ya kuiandikia barua ikitaka mchezo usogezwe mbele kufuatia wachezaji kuumwa na ugonjwa wa macho...
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...