PRIME Yanga yamwekea mtego winga Azam FC YANGA inapiga hesabu za kuwa na winga wa maana anayetumia mguu wa kushoto kwa msimu ujao na akili hiyo imetua kwa mtu mmoja mtunguaji ndani ya Azam FC.
Ukimtaka Ronaldo kila saa ni Sh696 milioni KITABU cha Football Leaks ambacho kimekuwa kikitoa taarifa za ndani kuhusiana na masuala ya mpira wa miguu, kimefichua kuwa ili kumpata staa wa Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano...
Ibrahima Konate aingia anga za PSG PARIS St-Germain na Real Madrid wanafuatilia hali ya beki wa Liverpool na Ufaransa, Ibrahima Konate, 25, ili kumsajili katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambapo mkataba wake utakuwa...
Tuchel amwandalia dawa Jude Bellingham KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel amepanga kuja na njia mbadala ya kumfanya staa wa timu hiyo Jude Bellingham atunze nguvu zake kwa ajili ya muda muhimu na kudhibiti hisia zake.
PRIME FOREMAN: Bondia aliyetajirika baada ya ngumi DUNIA imepoteza mmoja wa mabingwa wa ngumi waliokuwa na umaarufu mkubwa zaidi, George Foreman, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.
PRIME Ifahamu Suruali inayotibu misuli wachezaji SI habari nzuri kabisa kuzisikia. Una mechi muhimu, kisha unasikia timu yako itamkosa mchezaji muhimu kabisa kwenye kipute hicho kwa sababu ya tatizo la misuli.
Wenye Rumble in the Jungle wametuacha GWIJI wa masumbwi, George Foreman amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, familia yake imethibitisha.
Sancho njiapanda Man United, Chelsea STAA wa Manchester United, Jadon Sancho ameambiwa anaweza kuwa sehemu ya kikosi cha kocha Ruben Amorim endapo kama atafiti kwenye mfumo wa kocha huyo.
90 za kujiuliza kwa Abuya, Rupia MECHI za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa Ukanda wa Afrika zinatarajiwa kuendelea leo Jumapili na nyota wawili wanaocheza Ligi Kuu Bara katika timu za Yanga na Singida Black Stars, watakuwa...
PRIME Mambo sita yashikilia Kariakoo Dabi YANGA imeweka ngumu ikisema haitatia timu kwenye mchezo namba 184 dhidi ya Simba ambao uliota mbawa, baada ya kushindwa kuchezwa Machi 8, 2025 pale Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini mabosi wa juu...