Ronaldo achekwa, aibeba timu yake SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amepiga penalti ya hovyo huku mashabiki wakisema “Rasmus Hojlund amemvuruga kichwa.”
Owen ataja warithi wa Mo Salah, Nunez STRAIKA wa zamani wa Liverpool, Michael Owen amewataka mabosi wa timu hiyo kuangalia ndani ya klabu za Ligi Kuu England katika msako wao wa kupata wachezaji wa kuja kuchukua mikoba ya Mohamed...
WAKO POA! Kutoka mchangani hadi kuubonda mwingi Ligi Kuu England UMEONA zile sevu za David Raya anazofanya pale Arsenal? Au vile anavyofanya Ollie Watkins kuwakimbiza mabeki wa timu pinzani kwenye mechi za Ligi Kuu England akiwa na kikosi chake cha Aston Villa?
PRIME PUMZI YA MOTO: Ulegevu Simba, Yanga siyo kwa Karia tu, hata Tenga na wengine SAKATA la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi bado linaendelea na kufunika kila kitu kinachoibuka katikati yake.
PRIME Hii vesti kiboko ya wachezaji wavivu KWENYE soka la kisasa, mchezaji anaposajiliwa kutoka timu moja kwenda nyingine, kuna vitu vingi vinazingatiwa. Ipo hivi, baada ya skauti wa timu A kumwona mchezaji wa timu B na kuvutiwa naye...
Sudan yaizuia Sudan Kusini Uwanja wa Ndege kwa saa 3 TIMU ya taifa ya mpira ya Sudan Kusini, 'Bright Stars', iliripotiwa kukwama kwenye uwanja wa ndege wa Benina huko Benghazi nchini Libya baada ya kuwasili kwaajili ya mchezo wa kufuzu ushiriki wa...
Onana, Ederson kuziingiza vitani Man United, Man City MANCHESTER UNITED wako tayari kumuuza kipa wao namba moja Andre Onana kwenda Saudi Arabia katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ni katika mpango wa kocha wao Ruben Amorim kusuka upya...
Kevin De bruyne, Marekani ipo hivi KIUNGO wa Manchester City Kevin de Bruyne ameripotiwa kuzungumza na San Diego ya Marekani juu ya uwezekano wa kujiunga nayo katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi pale mkataba wake...
Kocha Liverpool awaonya mastaa wake KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amewatahadharisha wachezaji wake kwamba milele wataandamwa na kuimbwa ikiwa watashindwa kushinda taji la Ligi Kuu England msimu huu.
Mwambusi ashtukia jambo Coastal Union KOCHA wa Costal Union ya Tanga, Juma Mwambusi, ameshtukia kitu ndani ya timu hiyo huku akijipanga kukomaa na safu yake ya ulinzi iliyoonyesha dosari kubwa huku zikisalia mechi saba kumaliza msimu...