Ramires alivyoshtua watu kwa mwonekano wake KUNA huu msemo, eti unaanza kuzeeka kwanza kabla ya kuwa kijana.
Ishu ya Rashford kaishika Amorim LISEMWALO ni Marcus Rashford hatakuwa na maisha yoyote kwenye kikosi cha Manchester United endapo kama Kocha Ruben Amorim ataendelea kubaki kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.
Boss Chelsea afunguka timu hiyo kuhama Stamford Bridge BILIONEA mmiliki wa klabu ya Chelsea, Todd Boehly amethibitisha klabu hiyo itaondoka Stamford Bridge na kuhamia kwenye uwanja mpya.
PRIME Sowah, Sillah kuwachomoa wawili Yanga KUNA hesabu Kali ambazo Yanga inazipiga kibabe ndani ya kikosi chao cha msimu ujao wakitaka kuingiza silaha za maana ndani ya mziki wao lakini kuna wawili lazima waachie nafasi fasta ili dili...
Isak aitamani Barca, akiisikilizia Liverpool MSHAMBULIAJI wa Newcastle United na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak, yuko tayari kujiunga na Barcelona katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi lakini kipaumbele chake cha kwanza ni...
De Bruyne mawazo yote Marekani KIUNGO Kevin De Bruyne ameweka wazi mipango yake ya kuachana na Manchester City huku uliopo mezani ni kwenda kujiunga na klabu ya San Diego ya Ligi Kuu Marekani, imeelezwa.
Ronaldo achekwa, aibeba timu yake SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amepiga penalti ya hovyo huku mashabiki wakisema “Rasmus Hojlund amemvuruga kichwa.”
Owen ataja warithi wa Mo Salah, Nunez STRAIKA wa zamani wa Liverpool, Michael Owen amewataka mabosi wa timu hiyo kuangalia ndani ya klabu za Ligi Kuu England katika msako wao wa kupata wachezaji wa kuja kuchukua mikoba ya Mohamed...
WAKO POA! Kutoka mchangani hadi kuubonda mwingi Ligi Kuu England UMEONA zile sevu za David Raya anazofanya pale Arsenal? Au vile anavyofanya Ollie Watkins kuwakimbiza mabeki wa timu pinzani kwenye mechi za Ligi Kuu England akiwa na kikosi chake cha Aston Villa?
PRIME PUMZI YA MOTO: Ulegevu Simba, Yanga siyo kwa Karia tu, hata Tenga na wengine SAKATA la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi bado linaendelea na kufunika kila kitu kinachoibuka katikati yake.