Usajili wa mastrika utatikisa NI kitu cha wazi kabisa, Arsenal itakuwa bize kwelikweli kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kusaka straika mpya wa kuja kuwapigia mabao msimu ujao.
Martin Keown afichua usajili Arsenal LEJENDI wa Arsenal, Martin Keown, amefichua kwamba timu hiyo yenye maskani yake kaskazini mwa London tayari imesaini mkataba na mshambuliaji mpya ili kuboresha eneo lao la ushambuliaji.
Mashabiki Chelsea wambadilikia Todd Boehly MASHABIKI wa Chelsea wameiomba mamlaka inayosimamia Ligi Kuu England kumchunguza mmiliki wao Todd Boehly kutokana na uhusiano wake na kampuni inayouza tiketi za mechi mbalimbali za ligi hiyo.
Maamuzi magumu Man United, Amorim kuhusika MANCHESTER United itaingia kwenye dirisha la usajili la majira ya kiangazi ikiwa na mpango wa kutaka kuboresha kikosi chake huku kocha mpya Ruben Amorim akitarajiwa kupata fursa yake ya kwanza ya...
Yaliyojiri mkutano wa Waziri Kabudi, TFF, TPLB, Yanga na Simba Kwa Mkapa SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba...
Sancho anukia Bundesliga, Dortmund, Leverkusen zatajwa KIUNGO wa Manchester United, Jadon Sancho, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Chelsea, anataka kurudi Bundesliga katika dirisha lijalo ambako kuna timu zinahitaji huduma yake ikiwa pamoja na...
Brazil yarudi kwa Ancelotti SHIRIKISHO la Soka la Brazil limerudi tena mezani kuzungumza na wawakilishi wa kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kwa ajili ya kumtaka akawe kocha wao mkuu kuelekea Kombe la Dunia la 2026...
Huu Mtihani mkubwa kwa Liverpool MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amewatahadharisha mabosi wa Liverpool kuwa wanakutana na gharama za kulipa Pauni 250 milioni kwa ajili ya kuboresha kikosi chao ikiwa...
Magalhaes awekewa pesa Arsenal kisa Al Nassr ARSENAL iko tayari kumpa ofa ya mkataba mpya beki wake wa kati na timu ya taifa ya Brazil, Gabriel Magalhaes mwenye umri wa miaka 27, ili kumzuia asiondoke katika dirisha lijalo la majira ya...
Ndo hivyo! Greenwood anaweza kutua huku HIVI karibuni staa wa Marseille, Mason Greenwood, amekuwa hapati nafasi ya kutosha katika kikosi cha kwanza na kocha wa timu hiyo Robert de Zerbi ameweka wazi kwamba haridhishwi na utendaji kazi...