Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9636 results for Mwandishi :

  1. Amorim atoa msimamo kuhusu mfumo mpya

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema yupo tayari kubadilika.

    AMORIM Pict
  2. Daka ana bahati hajavunja shingo

    STAA wa Leicester City, Patson Daka amenusurika kuvunjika shingo wakati alipojaribu kuruka sarakasi na kuangukia shingo wakati alipokuwa akishangilia bao aliloifungia Zambia bao la kusawazisha...

  3. Maresca afunguka majanga yake Chelsea

    KOCHA Enzo Maresca amesema yupo na furaha kubwa huko Chelsea, lakini amegoma kupuuzia malumbano yake na mabosi kwenye kikosi hicho cha Stamford Bridge.

  4. Masuaku aumia Afcon 2025 presha ipo Ulaya

    SUNDERLAND kijasho kinawatoka baada ya kusikia beki wao Arthur Masuaku amepata majeraha wakati akitumika kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) yanayoendelea huko Morocco.

    MASUAKU Pict
  5. Kenya hatarini kupoteza uenyeji AFCON 2027

    Kenya iko katika hatari ya kupoteza haki ya kuwa mwenyeji mwenza wa fainali za Africa Cup of Nations (AFCON) 2027 baada ya kushindwa kuwasilisha ada ya uenyeji inayokadiriwa kufikia Sh trilioni...

  6. Fountain Gate yalamba dili

    TIMU ya Fountain Gate imeingia makubaliano ya miaka miwili yenye lengo la kuhakikisha kwamba wachezaji na benchi la ufundi wanakuwa katika mazingira bora ya kiutendaji wanapokuwa katika majukumu...

    FOUNTAIN Pict
  7. Steven Gerrard ampa ushauri Slot

    LEJENDI wa Liverpool, Steven Gerrard ameweka shinikizo kwa Kocha Arne Slot baada ya mwenendo mbaya wa timu hiyo ikiwemo kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Wolves Jumanne usiku.

    GERRARD Pict
  8. Hansi Flick aipa ubingwa Barca saa chache baada ya kufiwa

    KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, ameiongoza timu hiyo kutwaa ubingwa wa LaLiga kwa kuwachapa mahasimu wao, Real Madrid mabao 2-0, saa chache baada ya kufiwa na baba yake.

    BARCA Pict
  9. Wakala wa Haaland afichua siri ya mkataba mpya

    WAKALA wa Erling Haaland amesema hawakuwa na nguvu yoyote ya kushinikiza kupata masilahi makubwa zaidi kwa Manchester City wakati wa mazungumzo ya kuongeza mkataba wa mshambuliaji huyo wa...

    HALAAND Pict
  10. Tanzania yalipa CAF zaidi ya Sh80 Bilioni uwenyeji AFCON 2027

    Serikali ya Tanzania imelipa Dola Milioni 32 (zaidi ya Sh80 Bilioni) kwa Confederation of African Football (CAF) kama sehemu ya masharti ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya Africa Cup of Nations...

Previous

Page 94 of 964

Next