Stori ya Bocco itaisha kishikaji Simba? , jambo linalozua maswali mengi kwamba ndio majukumu yake mapya na hataonekana tena uwanjani, jibu la swali hilo lipo kwa viongozi wa klabu na Bocco mwenyewe. HESHIMA YAKE INAISHIAJE Bocco...
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Simba warushe taulo tu uwanjani SIMBA imekuwa na msimu mbaya. Taratibu inaanza kupoteza sifa ya kuwa mshindani namba moja wa Yanga. Taratibu inaanza kuzoea mazingira ya kumaliza msimu bila taji kubwa. Kitendo cha kucheza mechi...
PRIME Dabi ya Aziz KI na Chama UKISIKIA mwisho wa ubishi ndio huu wakati vigogo vya soka nchini, Simba na Yanga zitavaana katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Bara.
PRIME MZEE WA KALIUA: Kuna maisha baada ya 'Derby' Nimewahi kuona Simba mbovu ikishinda mbele ya Yanga bora. Sio mara moja. Sio mara mbili. Nimewahi kuona Yanga mbovu ikishinda dhidi ya Simba bora. Sio mara moja. Sio mara mbili.
NJE YA BOKSI: Mapambano haya yaliwaletea neema Kazi kazi. Mchezo wa ngumi ni moja ya michezo inayolipa pesa ndefu kwa mabondia kupanda ulingoni.
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tatizo yanga sio bao la mamelodi Kama ulikuwa nje ya Tanzania, habari ikufikie tu timu kutoka Tanzania zilizoshiriki robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga zimetolewa kwenye michuano hiyo na kurudi nyumbani...
PRIME Katwila amejiuzulu mara tatu Mtibwa kuingia kwenye ukocha na mimi nikafuata nyayo zao,” anasema na kuongeza licha ya ugumu wa kupata leseni A ya ukocha lakini kwake haikuwa kazi. “Nina leseni A, na kuipata leseni kiukweli lazima...
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Hiki hapa kinachowapa kiburi Yanga kwa Mamelodi YANGA ina kiburi sana. Ndicho unachoweza kusema kwa sasa. Mechi dhidi ya Mamelodi Sundowns ilikuwa dume, nini utawaeleza Yanga. Walishacheza na vigogo wa Afrika karibu wote. Kama ni presha...
Mabondia 50 matajiri zaidi duniani , WBC akionyesha ubabe. 4. Oscar De La Hoya Utajiri: Dola 200 milioni Bondia mstaafu wa ngumi za kulipwa Oscar De La Hoya alianza masumbwi yake 1992 na kupachikwa jina la The Golden...
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Ni aibu kumwona Pacome, Aziz Ki bure UPENDE usipende. Yanga ndiyo timu bora nchini kwa msimu wa tatu mfululizo. Hakuna ubishi. Huo ndiyo ukweli. Wako kwenye dunia yao kwa sasa. Kila mchezaji anaitaka mechi. Kila mechi kwao ni fainali.