Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

200 results for OMARY MDOSE :

  1. Yanga v Tanzania Prisons... Kwani nyie mnatakaje?

    NI siku nyingine tena mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC inashuka dimbani kukabiliana na Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi hiyo inayokaribia kufika ukingoni mwa duru la kwanza.

    Yanga Pict
  2. Simba yaizima Kagera, yarudi kileleni kibabe

    WANASIMBA walikuwa wakisubiri kwa hamu kubwa kumshuhudia nyota mpya, Elie Mpanzu ambaye jioni ya leo alitumia dakika 57 pekee kuonyesha umwamba wakati Simba ikishinda mabao 5-2 dhidi ya Kagera...

    Kaitaba Pict
  3. Wikiendi hii hatucheki na yeyote

    HII ni wikiendi ya kibabe. Yaani kuanzia hapa nyumbani Tanzania hadi kule Ulaya hakuna anayecheka na mtu. Wanajua wakicheka na yeyote itakula kwao. Ndio katika Ligi Kuu Bara wikiendi hii kuna...

    Hatucheki Pict
  4. Yanga, Mashujaa pointi tatu ngumu

    Hakuna timu inayoweza kuvuna pointi tatu kirahisi wakati Yanga itakapoikaribisha Mashujaa FC leo katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge kuanzia saa 10:00 jion

  5. PRIME Yanga vs Mashujaa ngoja tuone, hawa kukosekana

    YANGA iliuhama Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo dhidi ya Azam FC na Tabora United na leo itacheza kwa mara ya kwanza mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye...

  6. Rais Caf kufanya ziara ya siku moja Dar kesho

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf), Dokta. Patrice Motsepe, atazuru Tanzania, Kenya na Uganda - mataifa matatu ambayo yatakuwa mwenyeji wa Michuano ya Chan mwakani 2025. Ziara ya...

  7. PRIME Mpanzu anavyokwenda kuinogesha Simba

    WANASIMBA walikuwa wakisubiri kwa hamu kubwa sana usajili wa dirisha dogo ufunguliwe ili waanze kuona mavitu ya nyota wao mpya, Elie Mpanzu.

    Mpanzu Pict
  8. PRIME Msimlaumu mtu! Ramovic ahitaji majembe sita, hawa wako hatarini

    BAADA ya kufanyika tathimini ya washambuliaji wa Yanga kile walichokifanya msimu huu hadi sasa dirisha dogo limefunguliwa, ni wazi uamuzi unaokwenda kufanyika katika eneo hilo hautakuwa na lawama...

    Yanga Pict
  9. Alassane Diao arejea Azam na bao baada ya miezi tisa

    MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Alassane Diao, amerejea kwenye kikosi hicho kwa kufunga bao baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani miezi tisa.

  10. PRIME Yanga ina dakika 270 tu CAFCL

    YANGA imesaliwa na dakika 270 za kufa au kupona kama inataka kwenda robo fainali kutoka Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya jana kuambulia pointi moja dakika za jioni baada ya mtokea...

    270 Pict
Previous

Page 10 of 20

Next