Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1040 results for Eliya Solomon :

  1. Manula, Samatta kuwakosa Morocco

    KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema kukosekana kwa nahodha Mbwana Samatta kutaliwezesha benchi la ufundi kuwa na mpango mbadala katika mchezo wa...

    TAIFA STARS Pict
  2. PRIME Fadlu: Mastaa Simba waliitaka Dabi

    KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, amepongeza juhudi za wachezaji wa timu hiyo baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA Stars na kutinga 16 Bora ya Kombe la Shirikisho, lakini akifichua kuhusu Dabi...

  3. Mbele ya Mpanzu kazini kwa Balua kuna kazi

    EDWIN Balua alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotarajiwa kung’ara ndani ya kikosi cha Simba SC msimu huu, hasa baada ya kuonyesha kiwango bora chini ya Juma Mgunda mwishoni mwa msimu uliopita...

  4. Simba yaichapa TMA, yafuzu 16 bora

    SIMBA imetinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA) kufuatia kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA Stars kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, leo, ambapo...

  5. Minziro akalia kuti kavu Pamba JIji

    KOCHA wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’, amejikuta kwenye presha kubwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo katika mechi mbili zilizopita za ligi, hali inayochochea madai baadhi ya wachezaji...

    MINZIRO Pict
  6. Beki Azam atua Ulaya

    BEKI wa kushoto raia wa Senegal, Cheick Sidibe amejiunga na klabu ya HJK Helsinki ya Finland akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na matajiri wa Chamazi, Azam FC.

    BEKI Pict
  7. Wanawake michezoni... Mabadiliko na staili za maisha

    KATIKA miaka ya hivi karibuni, kumekuwapo na mabadiliko makubwa katika mitindo ya maisha ya wanawake Tanzania. Ni dhahiri wanawake wanapata nafasi zaidi ya kushiriki katika michezo na shughuli za...

    WANAWAKE Pict
  8. Mwamnyeto anavyotembelea njia ya Terry

    KATIKA soka mara nyingi wachezaji hupitia mabadiliko kwenye majukumu yao hasa wanapokutana na ushindani mkubwa wa namba.

  9. Azam FC morali juu, Kocha atamba

    USHINDI wa mabao 4-0 walioupata Azam dhidi ya Tanzania Prisons umeleta ahueni kubwa kwa kikosi cha matajiri hao wa Chamazi, baada ya kupitia kipindi kigumu cha kutoa sare tatu mfululizo katika...

    AZAM Pict
  10. PRIME Dabi ya Kariakoo: Mechi ya kasi na ufanisi

    KUELEKEA Kariakoo Dabi wikiendi hii, macho na masikio ya mashabiki yatakuwa kwa mawinga wa Simba na Yanga, wachezaji wanaoweza kubadili matokeo kwa kasi, uwezo wa kutengeneza nafasi, na...

    KASI Pict
Previous

Page 10 of 104

Next