Wapinzani wa Simba, Yanga CAF kujulikana Julai 25 Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza kufanyika kwa droo ya hatua ya awali kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, Julai 25, jijini Cairo, Misri kuanzia saa 9:00, saa...
Rais Samia, Dk Mwinyi kwenye uzinduzi jezi mpya Simba Klabu ya Simba imezindua jezi zake za msimu wa 2023/24 kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro zikiwa na majina ya viongozi wa Serikali ya Tanzania na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar. Moja ya viongozi...
Luis aachana na Ahly, Simba washindwe wenyewe WINGA wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Miquissone amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Al Ahly ya Misri na sasa ni mchezaji huru, imeripotiwa. Uamuzi huo umefikiwa wakati winga...
PRIME Luis Simba sasa uhakika SIMBA juzi iliendelea kutambulisha mastaa wapya wakati kundi la mwisho la wachezaji likijianda kupa kwenda kambini jijini Ankara, Uturuki, lakini taarifa njema kwa mashabiki na wapenzi ni dili la...
PRIME Luis, Simba wafika patamu ni suala la muda tu HII sasa sifa. Simba ni kama inataka kukomoa. Unajua kwa nini? Baada ya kukosa taji lolote katika misimu miwili mfululizo, safari hii mabosi wa Simba ni kama wanakomoa kutokana na kushusha vyuma...
Kitayosce mambo freshi FIFA Kiytayosce yakwepa rungu la FIFA baada Barua kutoka FIFA kumethibitisha kufuta shitaka lao kufungiwa kusajili kutokana na kushtakiwa na aliyekuwa kocha wa timu hiyo kwa nyakati tofauti Mostafa...
Simba yakata kiu ya miaka minne Klabu ya Simba rasmi imekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa Al Hilal ya Sudan, Fabrice Ngoma kwa mkataba wa miaka miwli kwa ajili ya kuimarisha eneo la kiungo la kikosi hicho kwa msimu...
Stars kundi E kufuzu Kombe la Dunia Droo ya makundi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 imechezeshwa leo saa 1 usiku jijini Abidjan, Ivory Coast, . Stars imepangwa kundi E ikiwa pamoja na timu sita ambazo ni Morocco...
African Football League kupigwa kwa Mkapa Baada ya Shirikisho la Soka Barani Afrika(CAF) kubadilisha jina la mashindano yake mapya Super League na kuitwa African Football League Rais wa CAF Patrice Motsepe amesema mashindano hayo...
Yanga kutambulisha chuma kingine leo Yanga imesema zoezi la kutambulisha mastaa wao wapya kuelekea msimu ujao litaendelea Leo watakapomtambulisha nyota wao mwingine mpya. Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema watatambulisha...