Mexico yazindua teknolojia kali ya ulinzi World Cup WAKATI maandalizi ya fainali za Kombe la Dunia 2026 yakiendelea, Mexico imezindua mfumo wa kisasa wa ulinzi ya roboti la mbwa watakaotumika kuhakikisha usalama wakati wa mashindano hayo.
Mamelodi Sundowns mabingwa wapya CAFCL Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 na FAR Rabat nchini Morocco jana, Jumapili, Mei 24, 2026.
Taharuki! Sanamu za wachezaji zaporomoshwa Mexico MJI wa Mexico City upo kwenye taharuki baada ya kundi la walimu wanaogoma kufanya maandamano yaliyohusisha kuharibu na kuchoma moto sanamu za wachezaji wa mpira zilizokuwa sehemu ya maonyesho ya...
Tishio la Ebola laivurugia Taifa Stars Morocco Mechi mbili za kimataifa za kirafiki za timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Rwanda na Uganda zilizopangwa kuchezwa Juni 5 na Juni 9 mwaka huu zimefutwa.
Bao la Khoukhi dakika za mwisho laiokoa Qatar Kombe la Dunia Qatar imeukataa unyonge baada ya kugomea kipigo mbele ya Uswisi, ikisawazisha dakika za jioni mchezo ukimalizika kwa sare ya bao 1-1.
Stumai ufundi, kipaji vinambeba kila kona japo haikuwa rahisi. “Nilianza kwa uoga lakini sasa ni kawaida kwani nimepanda mara nyingi na nina furaha kwani nimetimiza ndoto yangu ya kuwa miongoni mwa watu waliowahi kupanda ndege,” anasema...
KWAHERI MODEST: Mwandishi asimulia alivyomfuata Modest Kigoma IMENIWIA ugumu kusimulia angalau kwa uchache nilivyomfahamu beki wa kushoto wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Alphonce Modest ambaye amefariki dunia.
CHEKA: Bilionea huyu alinipa fedha nyingi niache ngumi ila... la marudiano. “Wakati ule nilikuwa nalipwa elfu 20 kwa pambano na kuna mapambano mengine sikuwa nikilipwa ila nilicheza kwa mapenzi tu, pambano na Maneno la Dar es Salaam nililipwa Sh 30, 000.
AKILI ZA KIJIWENI: Mashabiki waendelee kuizomea Simba itupwe nje katika mashindano hayo lakini pia kuifanya imalize bila kutwaa taji lolote msimu huu, jambo ambalo linatokea kwa mara ya pili mfululizo. Baada ya kuzomewa huko, Ahmed Ally kawataka...