Siku 9 za kimkakati Yanga, Simba wabeza Yanga imeanza kambi ya siku 9 za kimkakati jana kujiandaa na mechi ya dabi, huku watani zao Simba wakikebehi. Simba na Yanga zitakutana kwa mara ya kwanza msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania bara...
Kagere: Tutaona! MSHAMBULIAJI wa Simba Meddie Kagere amesema michezo miwili mikubwa ijayo ya timu hiyo wanaichukulia kama fainali na watapambana mpaka tone la mwisho uwanjani dhidi ya Red Arrows na Yanga.
Refa: Ile ilikuwa 2-2 BAADHI ya waamuzi wa Soka nchini, wametofautiana kuhusu bao la Geita lililokataliwa dakika ya 87 dhidi ya Simba juzi usiku kwenye Uwanja wa Mkapa wakidai kwamba ilipaswa kumalizika bao 2-2.
‘Msithubutu kumuacha Saido’ WADAU wa soka nchini wamewashika sikio mabosi wa Yanga na kuwaambia wasifanye makosa ya kumtema Saido Ntibanzonkiza kwani bado ana uwezo mkubwa wa kuisaidia timu hiyo kwenye eneo la ushambuliaji.
Mambo matano ya Morrison yafichuka JINA la winga wa Simba, Benard Morrison, limekuwa kubwa mbele ya wadau wa soka tangu atue Tanzania mwaka 2020 akiichezea Yanga miezi sita, kisha kuhamia Simba kuanzia msimu wa 2020/21.
FCC kuchunguza udhamini wa GSM Ligi Kuu ya NBC Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kama...
Tembo Warriors waahidi Ubingwa Canaf 2021 Timu ya Taifa ya Tanzania kwa watu wenye ulemavu 'Tembo warriors' imeahidi kutwaa ubingwa wa mashindano ya Bara la Africa ya soka kwa watu wenye ulemavu 'Canaf' baada ya...
Mkurugenzi TPA aanika siri kutwaa makombe Shimuta ‘TUNAPAKIA tunapakua kazi kazi' hiyo ni kauli mbiu ya wachezaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wakati wakimkabidhi makombe Mkurugenzi Mkuu, Erick Hamissi waliyoyatwaa...
Mondi amleta Chama Simba KWA kipindi cha miaka miwili, msanii wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Diamond Platnumz ametumia takribani Sh1 bilioni kununua vito vya madini vikiwamo pete, cheni na saa ya mkononi pekee.
Tanzania kutoshiriki Miss World, sababu zatajwa Wakati zikiwa zimebaki siku kumi kufanyika kwa mashindano ya Miss World, mwakilishi wa Tanzania Juliana Rugamisa hatoweza kwenda sababu zikitajwa ni kukwama kwa viza.