Daka ana bahati hajavunja shingo STAA wa Leicester City, Patson Daka amenusurika kuvunjika shingo wakati alipojaribu kuruka sarakasi na kuangukia shingo wakati alipokuwa akishangilia bao aliloifungia Zambia bao la kusawazisha...
Maresca afunguka majanga yake Chelsea KOCHA Enzo Maresca amesema yupo na furaha kubwa huko Chelsea, lakini amegoma kupuuzia malumbano yake na mabosi kwenye kikosi hicho cha Stamford Bridge.
Masuaku aumia Afcon 2025 presha ipo Ulaya SUNDERLAND kijasho kinawatoka baada ya kusikia beki wao Arthur Masuaku amepata majeraha wakati akitumika kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) yanayoendelea huko Morocco.
Kenya hatarini kupoteza uenyeji AFCON 2027 Kenya iko katika hatari ya kupoteza haki ya kuwa mwenyeji mwenza wa fainali za Africa Cup of Nations (AFCON) 2027 baada ya kushindwa kuwasilisha ada ya uenyeji inayokadiriwa kufikia Sh trilioni...
Fountain Gate yalamba dili TIMU ya Fountain Gate imeingia makubaliano ya miaka miwili yenye lengo la kuhakikisha kwamba wachezaji na benchi la ufundi wanakuwa katika mazingira bora ya kiutendaji wanapokuwa katika majukumu...
Steven Gerrard ampa ushauri Slot LEJENDI wa Liverpool, Steven Gerrard ameweka shinikizo kwa Kocha Arne Slot baada ya mwenendo mbaya wa timu hiyo ikiwemo kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Wolves Jumanne usiku.
McTominay aambiwa ni Barca, Madrid tu KUNA minongono kwenye klabu za Ligi Kuu England kuhusu shujaa wa Scotland, Scott McTominay, huku Everton ikidaiwa kuwa mstari wa mbele katika msako wa saini ya kiungo huyo.
Mwalimu achukua nafasi ya Sopu AFCON WAKATI kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kikiendelea na maandalizi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025), kocha mkuu wa kikosi hicho, Miguel Gamondi...
Shiza Kichuya aibukia Coastal Union WINGA wa zamani wa Simba na Mtibwa Sugar, Shiza Kichuya amejiunga na Coastal Union akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba JKT Tanzania.
Mkongomani kumrithi Chama Singida Black Stars MUDA mchache baada ya Singida Black Stars kukubali kumwachia Clatous Chama atimkie Simba, uongozi wa klabu hiyo upo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo Mkongomani, Linda Mtange...