Mawakili FC wakubali unyonge kwa Mahakama Moro Timu ya Mahakama Fc imetwaa ubingwa wa soka katika bonanza la michezo na mbio za marathoni kwa kuichapa Mawakili Fc kwa bao 2-0 katika mchezo mkali wa fainali huku Jaji mfawidhi wa mahakama kuu ya...
TRY AGAIN: Haikuwa kazi rahisi Chama kurudi Msimbazi SIMBA inafanya mambo yake kimya kimya. Ukitaka kudhihirisha hilo ni namna walivyoupiga mwingi kwenye usajili wa kumrejesha kiungo wao Clatous Chama, akitokea RS Berkane ya Morocco.
Mayele apewa mzuka Yanga YANGA kesho inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kuvaana na Polisi Tanzania, huku straika wake, Fiston Mayele akipewa mchongo mpya wa kuweza kuibeba timu...
Stars kuanzia makundi Afcon 2023 TIMU ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' imeingia katika hatua ya makundi kwenye fainali za mataifa ya Afrika inayotarajiwa kufanyika 2023 nchini Ivory Coast. Tanzania na timu...
Ajibu atupia, Azam ikiiua Prisons Sumbawanga Mbeya . Aibu! Ndivyo unaweza kusema baada ya Tanzania Prisons kuaibishwa nyumbani kwa kushushiwa mvua ya mabao dhidi ya Azam kwa kulala na kipondo cha 4-0. Kipigo hicho kinakuwa cha pili...
Kuziona Polisi, Yanga ni buku tano tu. Arusha. Wakati homa ya mchezo wa Ligi Kuu NBC kati ya Polisi Tanzania FC na Yanga SC utakaopigwa kesho Jumapili ikizidi kupamba moto kiingilio cha chini katika mchezo huo imetajwa kuwa ni...
Fei Toto hatihati kuivaa Polisi Tanzania kesho Arusha. Kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Feitoto' huenda akaukosa mchezo wa ligi kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania itakayopigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid...
Nabi: Tunachukua pointi tatu kwa Polisi Tanzania Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amesema wana kila sababu ya kuchukua pointi tatu katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Polisi Tanzania. Polisi Tanzania wataikaribisha Yanga kesho...
Mwakinyo, Class wavuliwa ubingwa WBF super welter na kuutetea Novemba 12 mwaka huo alipomchapa Jose Carlos Paz kwa TKO, mapambano yote yalipigwa Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC)...
Fei Toto anawaza ndoo tu! tunahakikisha kila tulichoelekezwa na mwalimu kinatimia.” Yanga kesho itakuwa Uwanja wa Ushirika Moshi kuvaana na Polisi Tanzania iliyopopo nafasi ya nne ikiwa na pointi 18 baada ya mechi...