Harmonize ndani ya Serengeti Festival leo, Mchengerwa ataka wasanii kuitangaza Tz Tamasha la Muziki la Serengeti leo Machi 13, 2022 linaingia katika siku yake ya pili na ya mwisho katika viwanja wa Chinangali jijini Dodoma baada ya kazi nzuri ya jana huku msanii Harmonize kuwa...
Mtendawema: Una Mayele, Feitoto unakosaje ubingwa? vurugu. Mwanaspoti limemuibukia beki huyo wa kimataifa wa Tanzania aliyeanza kucheza soka klabu ya AICC kabla ya kuonwa na mabosi wa Jangwani na kumbeba miaka 1990 na kufunguka mambo mengi.
Mudathir: Azam tatizo hili hapa! KIUNGO wa Azam FC, Mudathir Yahya amekiri timu yao kupoteza muelekeo baada ya kushindwa kupata matokeo kwenye mechi tatu mfululizo huku akikiri kuwa kujiamini ndio kunawafanya washindwe kufanya...
Vichwa 9 vyaipa jeuri Yanga SC ya mashindano ambayo kimyakimya imekuwa ikihakikisha kila kitu kinakuwa sawasawa kupata ushindi nyumbani na ugenini. Yanga msimu huu imetoa sare mbili tu katika mechi zao 10 za ugenini dhidi ya...
MPAPASO WA MASAU BWIRE: Tuache ushabiki twen'zetuni kwa Mkapa KABLA ya kukitoa nilichokusudia kwa ajili yenu wasomaji leo, nitumie fursa hii kutoa hamasa kwa Watanzania kesho tuiunge mkono Simba katika mchezo wa kimataifa dhidi ya RS Berkane ya Morocco...
Rekodi zaibeba kiutamu Simba kuvunjwa,” alisema Pawasa. “Kikubwa ni kucheza kwa nidhamu, haya mambo ya rekodi si vizuri kuwa vichwani mwa wachezaji na kusahau kutekeleza majukumu yao ya msingi,” aliongezabeki huyo wa zamani...
Tukutane palepale muone shoo tamu, Berkane waingia ubaridi . “Simba ndio wanatamba kwa sasa Tanzania, hivyo huu mchezo ni muhimu sana, sisi tunawaomba mashabiki wawe wa Simba na hata majirani zetu waje kwa wingi tutumie vyema nafasi hizo ambazo...
Rais Samia amchangia Sh15 milioni mtoto Ally Kimara RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi milioni 15 katika mfuko wa Ally Kimara kwa ajili ya kuchangia matibabu yake.
Aucho, Chico washusha presha Yanga PAMBANO la Yanga na KMC limepigwa kalenda hadi Machi 19, lakini hiyo imekuwa nafuu kwa Kocha Nasreddine Nabi aliyekuwa na majeruhi wengi kikosini, huku baadhi ya nyota hao wakianza kurejea na...
Kwa Chama namba hazidanganyi KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama hajarejea kwa bahati mbaya ndani ya kikosi hicho, data zinaonyesha katika mechi saba alizocheza za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Azam (ASFC)...