Championship kazi inaendelea VITA ya kupanda Ligi Kuu Bara kwa timu za Ligi ya Championship inaendelea leo kwa michezo saba kupigwa wikiendi katika viwanja tofauti huku pia kukiwa na presha ya kushuka daraja ikizidi kupanda...
Sakho, Kagere wapewa ujanja Ivory Coast katika mechi iliyopigwa Benin na kuinyima fursa ya kuandika rekodi mpya ya kufuzu hatua hiyo ikiwa ugenini kwa timu za Tanzania tangu michuano ilipobadilishwa mwaka 2004. Hata...
Simba yapata mbinu mpya, kambini kesho SIMBA inatarajiwa kuingia kambini kesho Jumapili ili kuanza kujifua kwa mazoezi kujindaa na pambano lao la Kombe la Shirikisho Afrika, Kundi D dhidi ya Union Sportive de la Gendarmerie (USGN) ya...
Simba mpoo.. chuma kinajifua kambini watakuwa na wiki moja ya kukimbiza na ana imani kwamba itatosha kushinda mechi hiyo yenye umuhimu mkubwa kwenye soka la Tanzania. Uongozi wa Simba umesisitiza kwamba una siku kumi...
JB, Chiki Mchoma wateuliwa ujumbe Bodi ya Filamu Wasanii wa filamu Jacob Steven maaarufu ‘JB’ na Salum Mchoma kwa jina la kisanii Chiki Mchoma wameteuliwa kuwa wajumbe wa bodi ya filamu Tanzania. JB ni muigizaji na mtayarishaji filamu huku...
VIDEO: Steve Nyerere abwaga manyanga, atoa sababu Dar es Salaam. Msanii wa filamu, Steven Mengere maarufu Steve Nyerere amejiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT). Steve Nyerere ametangaza hilo leo Ijumaa Machi 25,...
Usiku wa vita ya kuwania kufuzu kombe la Dunia kwa Bara la Afrika Armoumen. Congo DR wameshinda mechi zao mbili zilizopita za kufuzu Kombe la Dunia, wakishinda 3-0 dhidi ya Tanzania na Benin - mara ya mwisho walishinda tatu mfululizo mnamo Juni 2008...
Mechi 410 FKF-PL hat-trick nne LIGI Kuu Kenya itaingia mzunguko wa 24 mara tu baada ya mapumziko ya wiki mbili lakini takwimu za msimu huu zinaonyesha kati ya mechi 410 ambazo zimechezwa hadi sasa hat-trick nne tu ndizo...
ZILITRENDI: Mserbia acharukia uongozi wa Yanga afya kitu ambacho kinampa wakati mgumu la machaguo ya wachezaji kulingana na mechi. Pia kocha huyo alilalamikia tabia ya wachezaji wa timu hiyo hasa wale wanaotoka nje ya Tanzania...
ZILITRENDI: Wawili Simba wazuiwa Nigeria Odhiambo hati zao za kusafiria (pasipoti) zilikuwa uhamiaji jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata vibali, lakini tulizipata pasi hizo wakati timu inajiandaa kuondoka wakati huo ubalozi wa...