PRIME Gusa Achia, twende robo fainali CAF WIKIENDI ya Gusa Achia Twende Robo Fainali imefika. Simba na Yanga zina dakika 180 sawa na mechi mbili za kuamua hatma ya kufuzu robo fainali kwa mara nyingine tena katika michuano ya Ligi ya...
Inzaghi aipeleka Zanzibar Heroes fainali Mapinduzi Cup BAO la Ali Khatib 'Inzaghi' limetosha kuipeleka Zanzibar Heroes fainali ya Kombea Mapinduzi 2025 baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Kenya.
Kilimanjaro Stars yamaliza Mapinduzi Cup bila bao, pointi KATI ya timu nne zilizoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, ni Kilimanjaro Stars pekee ambayo haijafunga bao wala kupata pointi baada ya mechi tatu.
Kilimanjaro Stars yaweka rekodi mbovu Mapinduzi Cup WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2025 ikishirikisha timu za taifa kwa mara ya kwanza, kikosi cha Kilimanjaro Stars kimejikuta kikiweka rekodi mbovu.
Simba kanyaga twende robo fainali BAADA ya Yanga kumalizana na TP Mazembe ya DR Congo katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa nyumbani jana, leo Jumapili ni zamu ya Simba iliyopo ugenini ambayo itavaana na CS Sfaxien ya...
PRIME Yanga, Simba kimataifa ni mechi za maamuzi, utamu uko hapa WIKIENDI ya kibabe. Unaweza kusema ni Super Weekend kutokana na leo na kesho kuanzia hapa nyumbani hadi kule Ulaya kuna mechi za kibabe.
Yanga vs Fountain Gate ni mechi ya mabao WAZEE wa Gusa, Achia twende kwao, leo wanashuka uwanjani kumenyana na Fountain Gate katika pambano la Ligi Kuu Bara ambayo huenda likashuhudiwa mabao mengi kutokana na timu zote kuwa na uwezo wa...
Singida BS Vs Simba, mechi ya lawama SIMBA imecheza mechi nane mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza tangu ilipofungwa na Yanga bao 1-0 katika Dabi ya Kariakoo iliyopigwa Oktoba 19 mwaka huu.
PRIME Camara akwepa mtego Kitendo cha Fadlu kubadilisha kikosi mara kwa mara huku akionekana kuendelea kufanya vizuri, kimekuwa kikiwapa wakati mgumu wapinzani wake kushindwa kumsoma jambo linalompa faida.
Ahoua kaiacha miguu izungumze zaidi KATIKA timu, tathmini ya mchezaji hufanyika kulingana na nafasi yake. Kila nafasi kuna cha kuangalia ili kufahamu mchezaji husika amefanya nini.