Giza ishu ya Christian Eriksen kustaafu KIUNGO nyota wa Denmark, Christian Eriksen, amesema hana mpango wa kustaafu soka kwa sasa licha ya kuanguka tena uwanjani katika tukio lililozua hofu kwa mashabiki na wadau wa mchezo huo duniani.
Michael Olise apiga ‘hat trick’ ya maana KIUNGO mshambuliaji wa Ufaransa Michael Olise ameendelea kuonyesha kiwango chake bora kuelekea Kombe la Dunia baada ya kufunga mabao matatu (hat-trick) na kuiongoza Ufaransa kuibuka na ushindi wa...
Vita ya mfungaji bora Kombe la Dunia 2026 OMBE la Dunia 2026 linatarajiwa kuwa moja ya mashindano makubwa na ya kihistoria zaidi katika historia ya soka duniani, kutokana na mabadiliko makubwa ya mfumo wa mashindano ambapo kwa mara ya...
Refa Msomali aondolewa Kombe la Dunia kisa Marekani Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limesema kuwa Mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan ameondolewa kuchezesha Fainali za kombe la Dunia 2026.
Maignan, AC Milan ngoma ngumu, Chelsea ikitajwa kumvizia KIPA wa kimataifa wa Ufaransa na AC Milan, Mike Maignan, inadaiwa kuwasilisha ombi la kuondoka kikosini kutokana na mwisho mbaya wa msimu wa timu yake kulikoenda sambamba na kufutwa kazi kwa...
Wesley aumia, Ederson kuchukua nafasi Brazil TIMU ya taifa ya Brazil imepata pigo kubwa wakati fainali za Kombe la Dunia zikikaribia, baada ya beki wake wa kulia, Wesley kutangazwa kukosa mashindano hayo kutokana na majeraha ya misuli ya...
Mourinho arejea Real Madrid, Perez akimwaga Sh453 bilioni za usajili Jose Mourinho amerejea rasmi kuwa kocha mkuu wa Real Madrid baada ya Florentino Perez kushinda tena uchaguzi wa urais wa klabu hiyo.
Ushindi wa Perez... Jose Mourinho, Olise haooo Real Madrid JOSE Mourinho anatarajiwa kuthibitishwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Real Madrid baada ya Florentino Perez kuchaguliwa tena kuwa rais wa klabu hiyo hadi mwaka 2030.
Van Persie atimuliwa Feyenoord FEYENOORD imeachana rasmi na kocha wake, Robin van Persie baada ya miezi 16 pekee ya kuitumikia timu hiyo, uamuzi ambao umezua mjadala mkubwa ndani na nje ya soka la Uholanzi.
Ronaldo, Messi mabilionea wapya mjini Nyota wawili waliotawala soka la dunia kwa zaidi ya miongo miwili, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, wameandika historia nyingine baada ya kufikia rasmi hadhi ya mabilionea kabla ya kuanza kwa...