Meridian Bet Tanzania | Jinsi ya kujisajili | www.meridianbet.co.tz | Promo code: 1109 Meridian bet Tanzania nikampuni ya kubeti nchini tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria. Katika kampuni hii unaweza kubeti au kucheza Casino Mtandaoni.
EPL ni neema TIMU za Ligi Kuu England, Manchester United, Arsenal na Liverpool ambazo zinapambana kutafuta pesa kwa ajili ya kufanya usajili ili kuboresha vikosi ziko mbioni kupokea mapato makubwa baada ya...
Kocha PSG apuuza kona za Arsenal KOCHA wa PSG, Luis Enrique amepuuzilia mbali uwezo wa Asenal katika mipira ya kona akisema watajiandaa kuelekea mchezo huo kama wanajiandaa dhidi ya timu zingine. PSG itafanya safari kwenda...
TAJIRI ANAUMIA: Mmiliki wa zamani ana jambo Chelsea TAJIRI na mmiliki wa zamani wa Chelsea, Roman Abramovich anadaiwa kuwa bado roho inamuuma juu ya kuiuza timu hiyo ambayo kwake ilikuwa ni sehemu ya furaha yake.
Vigogo wawili wazidi kumgombea Wirtz MANCHESTER City, Liverpool na Arsenal wanamnyatia kiungo mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi lakini timu yake inahitaji kiasi...
Aprili 2025: Matukio makubwa ya kimichezo ndani ya 1xBet Kama unapenda michezo na unahitaji matukio bora ya michezo kwa ajili ya ku bet on April events, 1xBet ina machuguo bora kwa ajili yako. Bashiri kistaarabu na tumia muda wako kufanya machaguo...
Vinicius awakacha Waarabu LICHA ya kuwekewa ofa nono na matajiri wa Saudi Arabia, Vinicius Junior amekataa ofa hiyo na kukubali kusaini mkataba mpya na Real Madrid ambao utatangazwa mwishoni mwa msimu.
Nunez aiweka mtegoni Liverpool LIVERPOOL itatakiwa kuilipa Benfica kiasi cha ziada cha Pauni 4.3 milioni ikiwa straika Darwin Nunez ataanza tena mechi ya Ligi Kuu England msimu huu, imeripotiwa.
Rais Samia aibeba Simba Sauzi, agharamia malazi, usafiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa...
PRIME Yaliyojificha sakata la kipa Fountain Gate Nyuma ya adhabu ya kusimamishwa kwa kipa John Noble wa Fountain Gate kuna sababu mbili kubwa ambazo zimefanya timu hiyo ambayo inatumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Babati, Manyara kuchukua uamuzi...