Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

3978 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kuhusu Cunha, Amorim kasema haweki neno

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekataa kutoa maoni kuhusu tetesi zinazoihusisha timu hiyo na nyota wa Wolves, Matheus Cunha, anayedaiwa anaweza kusajiliwa dirisha lijalo.

  2. Man City ikishinda kesi, klabu za EPL imekula kwao

    KESI ya kisheria kati ya Manchester City na mamlaka zinazosimamia Ligi Kuu England huenda ikaibua mapya na kuzigharibu klabu zinazoshiriki Ligi Kuu England kwa kutakiwa kuilipa fidia miamba hiyo...

  3. Evra amtaka Suarez wapigane

    LEJENDI wa Manchester United, Patrice Evra, yupo kwenye mchakato wa kufanya mabadiliko ya kushangaza kwa kuwa mpiganaji wa MMA na anataka kucheza pambano moja dhidi ya Luis Suarez.

  4. Maresca ajiondoa kwa Palmer

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema hahusiki na kushuka kwa kiwango cha staa wa timu hiyo, Cole Palmer na amesisitiza huenda ana presha.

  5. Tiketi za ubingwa Liverpool ni milioni 11

    LEO ni siku maalumu kwa mashabiki wa soka wa Liverpool. Licha ya ukweli huenda ikawa siku ya maumivu kwa majirani zao Everton na wapinzani wao Manchester United, lakini hii ni siku muhimu sana...

  6. Kounde mguu sawa Arsenal

    ARSENAL wanapanga kuwasilisha ofa ya Pauni 55 milioni katika timu ya Barcelona kwa ajili ya kuipata saini ya beki kisiki wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Ufaransa, Jules Kounde.

  7. Mambo matano muhimu gemu 3 NBA

    KATIKA mchezo wa tatu wa mchuano wa kwanza wa hatua ya mtoano wa NBA kati ya Los Angeles Clippers na Denver Nuggets, hali imebadilika.

  8. EBANA EE! Slot aliitwa Miss sasa maisha hayoo

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anahitaji dakika 90 tu zijazo kuiongoza Liverpool kutwaa taji la 20 huku akiwa katika msimu wake wa kwanza kama kocha mkuu wa majogoo hao.

    SLOT Pict
  9. TPLB yawakumbusha wadau kufuata kanuni za ligi  lala salama Championship

    Bodi ya Ligi Kuu imewakumbusha wadau wa soka kufuata kanuni na taratibu za ligi ikiwemo kujihusisha na upamngaji wa matokeo kimpindi ambacho ligi ya Championship inaelekea ukingoni ikiwa imesalia...

  10. Kocha Liverpool akanusha ishu ya Nunez

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amepuuza madai kwamba hajamchezesha Darwin Nunez katika mechi kadhaa kwa sababu ya kifungu kilichomo kwenye mkataba wake ambacho kinaitaka Liverpool kuilipa klabu...

    NUNEZ Pict
Previous

Page 73 of 398

Next