Ronaldo aibua jipya mazoezini SIKU chache baada ya kuibua mjadala kutokana na ufanisi wake katika mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia 2026, straika wa Argentina, Cristiano Ronaldo amejikuta katika vinywa vya mashabiki wa soka...
Doku kuikosa Iran, kauli juu ya mtoto yatikisa WAKATI Ubelgiji ikijiandaa na mechi ya pili ya kundi G ya Kombe la Dunia, winga wa timu hiyo, Jeremy Doku ataukosa mchezo huo baada ya shirikisho la soka la nchi hiyo kutangaza kuwa anasumbuliwa...
Mechi tano za moto EPL 2026/27 JUZI, ratiba ya Ligi Kuu England kwa msimu wa 2026-27 ilitangazwa ambapo mechji zinatarajiwa kuanza Agosti 22, mwaka huu, huku vita ya kuwania ubingwa ikianza kuonekana mapema hata kabla ya...
Undav apiga mbili akitokea benchi, Ujerumani yafuzu mtoano Mshambuliaji aliyeingia akitokea benchi, Deniz Undav, ameibuka shujaa wa Ujerumani baada ya kufunga bao la ushindi katika dakika ya 90+4 na kuiongoza timu hiyo kufanya comeback ya kusisimua dhidi...
Mwamuzi Japan, Tunisia kuvaa jezi maalumu MWAMUZI wa Romania, Istvan Kovacs, atavaa jezi maalumu atakapochezesha mchezo wa Kombe la Dunia kati ya Japan dhidi ya Tunisia.
Yamal akataa kulinganishwa na Haaland, Mbappe Nyota wa Hispania, Lamine Yamal amesema kwamba sio sahihi yeye kulinganishwa na Kylian Mbappe na Erling Haaland kwa vile wao wamemzidi umri.
Uturuki waomba radhi kutolewa Kombe la Dunia Kiungo wa Uturuki, Arda Guler amewaomba radhi mashabiki wao kufuatia kuondolewa mapema kwa timu yao ya taifa katika Fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea Mexico, Marekani na Canada.
Hakimi aonyesha ujasiri kuikabili kesi ya ubakaji, atuliza presha Morocco Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi ameishusha presha timu yake ya taifa, saa chache kabla ya kuivaa Scotland baada ya kusema kuwa uamuzi wa mahakama ya Ufaransa kuhusu tuhuma zake za kubaka haumpi...
Mvutano Ureno? Dada wa Ronaldo aibua taharuki mpya LISBON, Ureno: DAMU nzito... Dada yake Cristiano Ronaldo ameonekana kuunga mkono chapisho la Instagram lililomkosoa Bruno Fernandes, jambo ambalo limezua ya uwezekano wa mvutano ndani ya kambi ya...
Enzo amalizana na Real Madrid KIUNGO Enzo Fernandez ameripotiwa kukubaliana masharti binafsi na Real Madrid kuelekea uhamisho unaowezekana kutoka Chelsea FC.