#WC2018: Neymar chini ya ulinzi Kocha wa Costa Rica, Oscar Ramirez, amesema amewaandaa wachezaji wawili kwa ajili ya kumdhibiti mshambuliaji mahiri na nahodha wa Brazil, Neymar.
Shiza Kichuya, Ajibu wapewa mchongo alicheza naye, kwa sasa Afrika kuna nyota kama Sadio Mane, Mohamed Salah na wengine wengi wanaotamba katika ligi mbalimbali barani Ulaya na mabara mengine. Alisema atafanya mazungumzo na...
Nyota Liverpool awapa dili Ajib, Kichuya Rughani amesema, Hyypia atakutana na wachezaji 224 kutoka timu 32 zitakazoshiriki katika mashindano ya mwaka huu ambapo mshindi atapata fursa ya kwenda Liverpool, mwezi Septemba.
Wachezaji wa Tanzania kusukiwa mipango England, Finland Asema kuwa atafanya mazungumzo na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Benki ya Standard Chartered ili kuona wanafanya jitihada ili kuwawezesha wachezaji wa Tanzania kucheza soka nchini...
TFF yaula La Liga SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Shirikisho la Mpira Hispania (RFEF), wamesaini mkataba wa miaka mitatu katika kuendeleza mpira wa miguu nchini.
#WC2018: WAMETISHA Wafungaji wa mabao ya kwanza mechi za kwanza Kombe la Dunia KAMA kuna raha kubwa katika fainali za Kombe la Dunia basi ni kuingia katika rekodi ya kuwa mfungaji wa bao la kwanza la michuano hiyo mikubwa.
WC#Tabarez: Suarez hatafanya kituko Katika fainali mbili zilizopita za Kombe la Dunia Suarez amekuwa gumzo kwa vituko vyake
Rekodi 10 za Kombe la Dunia, zinazoweza kuvunjwa Russia Didier Deschamps, Lionel Messi, Thomas Muller na Cristiano Ronaldo wanafukuzia rekodi kadhaa za Kombe la Dunia. Amini usiamini, Diego Maradona na Mondragon wanaweza wakapoteza rekodi zao.
#WC2018: Cheki makocha wanaolipwa pesa nyingi Russia 2018 KOCHA wa Senegal, Aliou Cisse ndiye kocha mwenye mshahara mdogo zaidi kati ya wale waliopo kwenye fainali za Kombe la Dunia huko Russia.