Nyota Serengeti Boys huyoo Denmark NEEMA imezidi kukiangukia kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana U-17, Serengeti Boys baada ya nahodha wake, Maurice Abraham kupata zali la kwenda Denmark.
Barca, Real zachezea vichapo La Liga Barcelona na Real Madrid ndizo timu zilizotwaa zaidi ubingwa wa La Liga
Cheki Luka Modric alivyobeba tuzo yake KIUNGO, Luka Modric amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Fifa wa Dunia kwa mwaka 2018, akiwabwaga Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah kwenye kinyang’anyiro hicho.
Hawajawahi kupoteza mechi ya Ligi Kuu ambayo walifunga bao ASIKWAMBIE mtu Ligi Kuu England ni ngumu kweli kweli. Kushinda au kutoka sare ni jambo linalohitaji nguvu kubwa kuweza kulipata.
Dili 100 za usajili wa mkwanja mrefu Ulaya SUPASTAA wa Kibrazili, Neymar ndiye anayeshikilia rekodi ya kusajiliwa kwa pesa nyingi duniani kwa sasa.
Vipigo bila huruma Ligi Kuu England LIGI Kuu England inarudi wikiendi hii na bado hakujashuhudiwa kipigo cha mabao mengi yenye kuvunja rekodi kwenye mechi moja.
Samatta apangiwa mabeki watatu Europa Ligi Mbwana Samatta ndio nahodha wa timu ya Taifa Stars. Kabla ya kujiunga na Genk, ameshazichezea klabu za TP Mazembe ya DR Congo, Simba na African Lyon za Tanzania.
Chama la wababe watupu uwanjani KWENYE soka kuna wachezaji hao wamekuwa kipenzi cha mashabiki wa timu pinzani kwa ajili ya kuwazoea tu kutokana na rafu zao wanazocheza uwanjani. Sergio Ramos ni mmoja wao na ndio maana mapema tu...
Hapa pesa tu KAMA kuna kipindi mashabiki wa soka walipata burudani, basi ni kwenye michuano ya Afcon U17-Kanda ya Cecafa.
Ronaldo Delima amiliki timu Hispania Mshambuliaji wa zamani wa Inter Milan, Barcelona na Real Madrid ya Hispania, Ronaldo Nazario de Lima, amekamilisha taratibu za kuwa mmiliki mpya wa klabu ya Real Valladolid ya Ligi Kuu Hispania.